jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Alikua anasumbuliwa na Kisukar
Kuna siri gani watumishi wengi wakistaafu tu uwa hawakai sana wanakufa.
Ila picha yake ya mwisho alipokuwa akiagwa na kugabidhiwa gari mwezi wa nane alionyesha hakuwa sawa kifya nilinotes hiko kitu.