ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Hivi waliokufa na wanaoishi wapi wapo wengi!!??...Manake tunashauriwa tujoin the majority/ walio wengi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi yangu ni undertaker mheshimiwaNa yule rasi aliyesemaga " si ni bora mtunyonge " anaitwaga nani?
Etiiiii?!!!,....umesemaaa?!!,😂😂Na yule rasi aliyesemaga " si ni bora mtunyonge " anaitwaga nani?
MZEE ojwang alisha tangulia mbele za haki kitambo sanaApumzike kwa amani
Hivi mzee Ojwang bado yupo?
MakokhaNa yule rasi aliyesemaga " si ni bora mtunyonge " anaitwaga nani?
Naye aliishafariki R.I.P alikuwa na jamaa mmoja anaitwa masakuu pamoja na otoron'gon'go ....Mzee Ojwang mnamkumbuka?
Alikua na kipindi chake cha vitimbi😂.
Alikua na mke wake anaitwa mama Kayayee na mchepuko wake mama kaninii.
Ilikua nikiangalia vitimbi na kisha vioja mahakamani basi roho yangu inatakasika kabisa.
Kama furaha inaongeza ama kusogeza maisha mbele basi hawa watu wana mchango wao kwenye maisha yangu nitakayoisho hapa Duniani.
AliishafarikiApumzike kwa amani
Hivi mzee Ojwang bado yupo?
Nyingine anamuuliza..wale watu wanajua bana[emoji28][emoji28]
kuna yule kibonge(ondieki)kila nikimuona lissu akiongea namkumbuka huyu jamaa,wanafanana sura,miili,kimo mpaka namna ya uongeaji[emoji23][emoji23][emoji23]
kuna sehem marehem aliulizwa na olexander josephat-wewe umewahi kukatangwa kichwa yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787].na ile lafudhi ya kimasai unawezacheka upaliwe.
RIP mwendesha mashtaka bora kabisa.
Mpwaa tunapambaanaa nilitakiwa kwnye ufunguzi wa HANDAKI MCHEPUKO Majukumu yalinibana naona shuhuli mama kaimaliza salama sasa mamboa ya Uoooooooooooooooooooooooooooo mtaani ytaisha maana ukikatika ukirudi uhitaji kujua ukisikia watotoo huooooo kama umevua nguo unawahi switch fasta usionekane..mambo yanaendaje mpwaaNipokabisampwahabarizamasiku?
Bado wapo hata leo, Makokha Makhacha na Ondieki wapo na wanaendelea na kipindiHawa watu walikuwa ni mafundi sana kwenye kuwasilisha kazi zao za sanaa!!
Pole sana kwa wafiwa.team yako kina olekzanda Josephat, Ondieki, Makoha, na wengine.