TANZIA Aliyewahi kuwa mwendesha mashtaka mkuu wa kipindi cha Vioja Mahakamani Afariki Dunia

TANZIA Aliyewahi kuwa mwendesha mashtaka mkuu wa kipindi cha Vioja Mahakamani Afariki Dunia

Moja ya siku niliopokea taarifa ilionisikitisha ni leo, huyu ndugu pamoja na wenziwe wote katika kipindi cha vihoja mahakamani qakikuao ni bora kuliko waigizaji wote katika tasnia ya uchekeshaji.

Roho imeniuma kwa kweli ila sina la kusema zaidi mwenyezi Mungu amjalie nuru ya milele, sote tukumbuke hapa duniani sio mahali petu pa moja kwa moja ila ni njia tu ya kuelekea mahali palipo andaliwa rasmi kwa wote, tukumbuke kutenda wema na kuacha alama katika dunia itakayo kua ni positive, watu kwa kawaida husahau ila kumbukumbu ya mema na matendo yako katika jamii hayatasahaulika kamwe.
 
Mzee Ojwang mnamkumbuka?

Alikua na kipindi chake cha vitimbi😂.

Alikua na mke wake anaitwa mama Kayayee na mchepuko wake mama kaninii.

Ilikua nikiangalia vitimbi na kisha vioja mahakamani basi roho yangu inatakasika kabisa.

Kama furaha inaongeza ama kusogeza maisha mbele basi hawa watu wana mchango wao kwenye maisha yangu nitakayoisho hapa Duniani.
Naye aliishafariki R.I.P alikuwa na jamaa mmoja anaitwa masakuu pamoja na otoron'gon'go ....

Baadae akaja mwala na yule mwenzake wezi wa kuku za hotelini
 
wale watu wanajua bana[emoji28][emoji28]
kuna yule kibonge(ondieki)kila nikimuona lissu akiongea namkumbuka huyu jamaa,wanafanana sura,miili,kimo mpaka namna ya uongeaji[emoji23][emoji23][emoji23]

kuna sehem marehem aliulizwa na olexander josephat-wewe umewahi kukatangwa kichwa yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787].na ile lafudhi ya kimasai unawezacheka upaliwe.

RIP mwendesha mashtaka bora kabisa.
Nyingine anamuuliza..

"Kwani wewe una nyumba?

Akajibu hapana naishi nyumba ya serikali..

Basi Alexander akacheka harafu akamuuliza "Unapelekwaje huko kwenye nyumba za serikali, mnakula stress,😅😅😅
 
Nipokabisampwahabarizamasiku?
Mpwaa tunapambaanaa nilitakiwa kwnye ufunguzi wa HANDAKI MCHEPUKO Majukumu yalinibana naona shuhuli mama kaimaliza salama sasa mamboa ya Uoooooooooooooooooooooooooooo mtaani ytaisha maana ukikatika ukirudi uhitaji kujua ukisikia watotoo huooooo kama umevua nguo unawahi switch fasta usionekane..mambo yanaendaje mpwaa
 
Back
Top Bottom