Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Ni tukio staged ili kutengeza taswira hasi dhidi ya kanisa. Fuatilia uone kama kuna popote kaumia. Nakumbuka baada ya Lisu kushambuliwa kwa risasi, siku chache mbele lilitengenezwa tukio la kupangwa kuwa kuna mwanajeshi mstaafu kapigwa risasi akapelekwa muhimbili. Mtu wa kwanza kwenda kumtembelea alikuwa Magufuli!Hili linaweza kuwa tukio la kupangwa. Haka ka-mama hakaamini hata kidogo. Kuna movie wanataka kucheza hawa. Wakatoliki ni watu weledi hawawezi kushughulika na vicheche kama hivi. Kwani anadhani yeye ndiye wa kwanza kuwananga wakatoliki?
Lengo la hadaa ile ilikuwa ni kuonyesha kuwa Magufuli ni mtu mwenye upendo, na hata ukipigwa risasi, hospitali zetu zinaweza kukutibu, kuonyesha kuwa Lisu alienda kutibiwa nje ili kuichafua nchi, lakini angeweza kutibiwa hapahapa. Yaani jamaa wana mbinu za kishamba mno.