CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Anataka na yeye ale hela ya AbduliHuyo mtu inaonekana ni mwongo sana, anatengeneza igizo jingine tena!! Kapigwa wapi, mtu amejipakaa hayo marangi kuzunguka macho yake ili kuwadanganya watu kuwa amepigwa!! Mbona jicho halijadhurika?