Aliyewashtaki viongozi wa kanisa katoliki (Lucy Antony) ashushiwa kipigo na watu wasiojulikana

Aliyewashtaki viongozi wa kanisa katoliki (Lucy Antony) ashushiwa kipigo na watu wasiojulikana

Hakuna mtu mwenye muda na hiyo takataka,huyo amepigwa na waliomtuma baada ya kuchukua pesa zao na kwenda kuongea nonsense mbele ya waandishi uchwara.

Wewe unadhani alichoongea pale ndicho alichotumwa akakiongee?hata ningekuwa nimemtuma mimi kwa ujira wa Tsh 10,000/= utumbo aliuongea pale nisingemuacha bila kumvunja mahali.
Nikupe pesa afu ukaongee mambo ya petrol station 😂 ah kudadeki lazima nikupige
 
Hivyo hajapigwa yaani mtu apigwe hata kuvimba uso hajavimba , au wapigaji walikuwa mademu wenzie 😂
Eti upigwe jichoni halafu jicho libaki kuwa jeupe hivi huyu Dr. Mwigulu Nchemba anatuchukuliaje sisi?
FB_IMG_1768142183987.jpg
 
Juyu hajapigwa ni drama tu, mqendelezo huo
Lucy Antony Michael (35), Mkazi wa Yombo Dovya, Mtaa wa Makangarawe, Wilayani Temeke, Dar es Salaam amevamiwa na watu wasiojulikana akiwa anatoka nyumbani kwake, ambapo watu hao walimpiga na kumshambulia maeneo mbalimbali ya mwili wake

Lucy ambaye ni miongoni mwa watu waliojitambulisha kuwa ni Waumini wa Kanisa Katoliki walioenda kwenye Ubalozi wa Vatican, uliopo hapa nchini kwaajili ya kupeleka barua ya malalamiko juu ya mwenendo wa baadhi ya viongozi wa Kanisa hilo hivi karibuni, amesema kabla ya kuvamiwa na kushambuliwa kwake kwa siku kadhaa amekuwa kwenye misukosuko ya kupokea simu na kutumiwa sms za kejeli, matusi na wengine kumtishia maisha

Akizungumza na Waandishi wa Habari akiwa nyumbani kwake leo, Jumapili Januari 11.2026, Lucy amehusianisha kushambuliwa kwake na maoni aliyotoa mbele ya Wanahabari kuhusiana na mwenendo wa baadhi ya viongozi wa Kanisa Katoliki, jambo ambalo ameeleza kuwa amelifanya kwa nia njema ya kujenga iliyolenga kuwarejesha viongozi hao kwenye mstari, maoni ambayo yamepokelewa kwa hisia hasi kwa baadhi watu kwenye jamii

Aidha, bada ya kushambuliwa Lucy amefikisha malalamiko yake kwenye Kituo cha Polisi Makangarawe na kupewa RB No. MAR/RB/49/2026

Shuhuda wa tukio hilo Sabina Michael, Mjumbe wa Serikali ya Mtaa Ashura Salum na Daud Leonard ambaye ni mmoja wa waumini wanaosali pamoja na Lucy, kwa nyakati tofauti wameeleza kusikitishwa na tukio hilo sambamba na kuziomba mamlaka husika kuchukua hatua stahiki kwa wote waliohusika, huku pia wakiomba kuimarishiwa zaidi usalama mtaani kwao kwani matukio ya aina hiyo yanaweza kusababisha wasiwasi kwa jamii.

Pia Soma:
Hamna kitu hapo ni drama. Huo ni usanii wa ku act eti ni wakatoliki mayo zake Hajapigwa na yoyote, anaendelea.kudanganya umma! Mshenzi mkubwa
 
Hili linaweza kuwa tukio la kupangwa. Haka ka-mama hakaamini hata kidogo. Kuna movie wanataka kucheza hawa. Wakatoliki ni watu weledi hawawezi kushughulika na vicheche kama hivi. Kwani anadhani yeye ndiye wa kwanza kuwananga wakatoliki?
Kwel kbc aka kamama n kahuni kanajaribu kutengeneza taharuki nyingne
Just imagine uvamiwe na watu wanne et wakupige kwa namna hyo ilihali wewe huna msaada wowote ule
 
Huyu anajisemesha ili Mchange amchangie! Hii omegoma kwa sababu pesa za Mchange hazitolewi mara mbili. Na hii script mmeikosea tena hasa upande wa picha! Hakuna kipigo kinachoshirikisha watu zaidi ya watano kwa mmoja uweze kuulinda uso wako hivyo! Na mpigapicha naye kakosea kukuelekeza kwani mmesahau kuupiga picha mkono uliovunjika na kuweka nakala za risiti za hospitali pamoja na picha ya x-ray!
Kajipangeni upya mazuzu ninyi! Shule muhimu mno, ona unavyozidi kuuanika ujinga wako kwenye media!
 
Back
Top Bottom