Achana nae pandikizi la Kagame.Unahakiki kwa kumrekodi na kutuma mitandaoni kisha unasema ni kawaida?
Yani kumrekodi mwanajeshi akisachiwa na askari polisi na kupost ndiyo kuonyesha kuwa nyinyi si lolote? Nadhani wanamaanisha hivyo.
Kumrekodi askari akipigwa sachi kiasi kile kisha kutuma kwenye mitandao ni moja ya uchokozi kati ya nchi na nchi.
Poleni mnaoona ni jambo la kawaida kurekodiwa kule na kuwekwa hadharani mitandaoni.
JWTZ sio ya kupigana na jeshi la Rwanda! Ni udhalilishaji.Kama vipi zipigwe tu
Yani kumrekodi mwanajeshi akisachiwa na askari polisi na kupost ndiyo kuonyesha kuwa nyinyi si lolote? Nadhani wanamaanisha hivyo.
Kumrekodi askari akipigwa sachi kiasi kile kisha kutuma kwenye mitandao ni moja ya uchokozi kati ya nchi na nchi.
Poleni mnaoona ni jambo la kawaida kurekodiwa kule na kuwekwa hadharani mitandaoni.
Huyu mama na waziri wa kike yule mama wote hakuna kitu,wanaonea wabongo lakini nje ya Tz ni underdogMi nadhani kama mama hatakuwa ameauthorize hata covert operation nicknamed "cutting the head of a snake" atakuwa anafanya makosa makubwa sana strategically
Kukawaidisha upumbavuWengi mnaona kama kitu cha ajabu ila ni kawaida kutii mamlaka za nchi uliyopo kwa wakati huo hatakama ni mwanajeshi lazima asachiwe ndio taratibu,cha msingi hawajapolwa walivyo navyo.