The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Sasa hao wanajeshi wa chache wangefanya nini nchini kwa watu?Kukawaidisha upumbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hao wanajeshi wa chache wangefanya nini nchini kwa watu?Kukawaidisha upumbavu
Kivipi?JWTZ sio ya kupigana na jeshi la Rwanda! Ni udhalilishaji.
Jeshi limeidhalilisha nchiYani kumrekodi mwanajeshi akisachiwa na askari polisi na kupost ndiyo kuonyesha kuwa nyinyi si lolote? Nadhani wanamaanisha hivyo.
Kumrekodi askari akipigwa sachi kiasi kile kisha kutuma kwenye mitandao ni moja ya uchokozi kati ya nchi na nchi.
Poleni mnaoona ni jambo la kawaida kurekodiwa kule na kuwekwa hadharani mitandaoni.
“If you build an army of 100 lions and their leader is a dog, in any fight, the lions will die like a dog. But if you build an army of 100 dogs and their leader is a lion, all dogs will fight like a lion.” Napoleon Bonaparte.Ujumbe ni kwamba Vikosi vyetu huko vimesarenda, sema hatuambiwi ukweli, Askari waliosarenda ndio husachiwa.
Hatuambiwi ukweli tu na hawa Viongozi wa mboga mboga fc.
Tutawaadhibu kwenye Box la kura kwa kuludhalilisha Jeshi letu la Wananchi.
Yani kumrekodi mwanajeshi akisachiwa na askari polisi na kupost ndiyo kuonyesha kuwa nyinyi si lolote? Nadhani wanamaanisha hivyo.
Kumrekodi askari akipigwa sachi kiasi kile kisha kutuma kwenye mitandao ni moja ya uchokozi kati ya nchi na nchi.
Poleni mnaoona ni jambo la kawaida kurekodiwa kule na kuwekwa hadharani mitandaoni.
Ujumbe ni kwamba Vikosi vyetu huko vimesarenda, sema hatuambiwi ukweli, Askari waliosarenda ndio husachiwa.
Hatuambiwi ukweli tu na hawa Viongozi wa mboga mboga fc.
Tutawaadhibu kwenye Box la kura kwa kulidhalilisha Jeshi letu la Wananchi.
Aliyefanya hivyo ametututkana WATANZANIA wote.
Rais Kagame anatakuwa aombe radhi kwa kitendo cha kurekodi ilo tukio na kusamabaza kwenye mitandao ya kijamaii.
Kusachiwa sio kosa ila kutekodiwa na kusambaza ni tuzi kubwa kwa Watanzania.
Huyu mama na waziri wa kike yule mama wote hakuna kitu,wanaonea wabongo lakini nje ya Tz ni underdog
Watu waache kupiga mikwara za midomo au sio😀Kama vipi zipigwe tu
Kuna zile video Jw waki Wachapa M23 na BM while waki shangilia ni walikua wanalinda amani pia sioHatuna shida na Rwanda... katukosea nini? Yeye mwenyewe anasema hana mahusiano na M23. Sisi tulienda kulina amani tu ambapo kwa sasa haiwezekani tena. Tanzania tunapaswa kuanza kufikiria kama mabeberu nyakati hizi.
Baada ya kuiharibu nchi, mifumo yake na vyombo vyake nyie nzi wa kijani ndo mnakuja na siasa zenu mfu?Nchi hizi mbili zitunze kisasi hiki muhimu dhidi ya Rwanda. Ukifika wakati sahihi tupige haswa bila huruma.