Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Kagame anaiba madini Congo, nyie mnaibiwa madini na mzungu, nani mjanja hapo?.
Mwacheni Kagame.
Mwacheni Kagame.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes haikatazwi kujilinda uso kwa kurusha ngumi ndo maana wanakuwa na vifaa vya kawaida tu. Tangu wakati wa vita ya Uganda Tanzania haijaingia vitani tena.Kuna zile video Jw waki Wachapa M23 na BM while waki shangilia ni walikua wanalinda amani pia sio
Daaah, Kagame ananikera kinoma, ningekuwa amiri jeshi mkuu sijui ningemfanyaje.Nchi hizi mbili zitunze kisasi hiki muhimu dhidi ya Rwanda. Ukifika wakati sahihi tupige haswa bila huruma.
Mkuu, nyoka akimvamia jirani yako, ukashindwa kwenda kusaidia kwa kudhani kuwa hayakuhusu,Hivi nchi ambayo una ugomvi nayo askari wako ambae kavaa combat za jeshi anaweza ingia kwenye mpaka wao bila ya wasiwasi wowote.
Watanzania tunaishi kwenye dunia yetu; mie mada zingine uwa naona kama wa-Congo na wanyarwanda wanataka kuingiza Tanzania katika migogoro yao.
Wapambane na hali yao tu, Tanzania aihusiki na wasitulazimishe kuingilia. Safari hii wazungu wale leje wanajeshi wao huko ndio wenye shida na hizo rare earth mineral.
Siku Tanzania ikiwa na shida na nchi jirani wa ulinzi au wa mambo ya nje wataongea; sio hizi mada za wa-Congo (wanaoishi Tanzania) na wanyarwanda wanaoishi Tanzania; kutulazimisha kuingilia. Mpambane na hali zenu.
Sasa kama jirani mwenyewe nae hata ‘adder’ nyoka ambae hana sumu kuua; kumsogelea hawezi. Wakati adder unaweza kumkamata hata kwa mkono tu, huyo wa kwenda kumsaidia kweli.Mkuu, nyoka akimvamia jirani yako, ukashindwa kwenda kusaidia kwa kudhani kuwa hayakuhusu,
Nyoka akimalizana na jirani atakuja kwako, ni bora kumuwahi akiwa bado kwa jirani.
Nafikiri umeelewa vizuri.
Hamtaweza kuelewa diplomasia ya vita kama mnadhan Tanzania hainufaiki na wala haistahiki kunufuaika na huo mgogoro..Hivi nchi ambayo una ugomvi nayo askari wako ambae kavaa combat za jeshi anaweza ingia kwenye mpaka wao bila ya wasiwasi wowote.
Watanzania tunaishi kwenye dunia yetu; mie mada zingine uwa naona kama wa-Congo na wanyarwanda wanataka kuingiza Tanzania katika migogoro yao.
Wapambane na hali yao tu, Tanzania aihusiki na wasitulazimishe kuingilia. Safari hii wazungu wale leje wanajeshi wao huko ndio wenye shida na hizo rare earth mineral.
Siku Tanzania ikiwa na shida na nchi jirani wa ulinzi au wa mambo ya nje wataongea; sio hizi mada za wa-Congo (wanaoishi Tanzania) na wanyarwanda wanaoishi Tanzania; kutulazimisha kuingilia. Mpambane na hali zenu.
Mkuu Chiembe with due respect....Nchi hizi mbili zitunze kisasi hiki muhimu dhidi ya Rwanda. Ukifika wakati sahihi tupige haswa bila huruma.
Unaweza kuwa unapiga Grad kumbe askari wa Kongo FRDC wameshawapigia M23 simu na wameondoka kwenye hizo positions unakuwa unapiga hiku unashangilia kumbe hola unahasarisha tu rockets.Kuna zile video Jw waki Wachapa M23 na BM while waki shangilia ni walikua wanalinda amani pia sio
Tanzania tuna reserves kubwa ya rare earth mineral kushinda Congo; duniani wa tisa na Africa ni wa kwanza.Hamtaweza kuelewa diplomasia ya vita kama mnadhan Tanzania hainufaiki na wala haistahiki kunufuaika na huo mgogoro..
Vita ni utajir vita ni mali... Badala kuzunguka zunguka kitafuta kodi za uchuuzi Tanzania inaweza ingia deals za minerals na DRC(pengine upo)
Tanzania haiwez kuacha rasilimali na bilateral trade na DRC kwa sababu kuna viongozi hawataki kuliona hili...
We can fight for them and gain alot from it...
DRC salama means prosperity for Tanzania.... Hakuna mbadala wake.
Wakati wanaenda walijua wanaenda kufanya niniSasa hao wanajeshi wa chache wangefanya nini nchini kwa watu?
sijui umefanya research lini, hizo rare minerals nyingi kiasi hicho ziko wapi na ni za aina ipi?Tanzania tuna reserves kubwa ya rare earth mineral kushinda Congo; duniani wa saba na Africa ni wa kwanza.
Yetu wenyewe kuchimba hatuna mtaji wa kuchimba, tukishachukua na hiyo migodi ya Congo tufanye nayo nini.
Wacha watandikane, wapitishe tu hayo madini yao bandari yetu maisha yaendelee.
Congo imedekezwa vya kutosha, uwezi kuacha eneo lako lenye utajiri bila ya ulinzi; ili sio tatizo la jana; ni la miaka hawajifunzi tu wanasubiri Kenya, Tanzania na S.A iende wasaidia kila siku.
Tuache fate ichukue mkondo wake, East Congo.
Jamani mpaka wa Rwanda Ndio salama kwa sasa kuvuka kuja TZ toka Congo DRC,sijui mnaelewa.Wakagi wanaenda walijua wanaenda kufanya nini
sijui umefanya research lini, hizo rare minerals nyingi kiasi hicho ziko wapi na ni za aina ipi?
Ngara nyingi sana, hata Katavi/Rukwasijui umefanya research lini, hizo rare minerals nyingi kiasi hicho ziko wapi na ni za aina ipi?
Mkuu SAMIDRC 1 imekwenda Congo na mandate ya ku-engage kwenye mapambano. Mission hiyo ilikuwa kupambana na adui moja kwa moja kuwateketeza. Nafasi hiyo muhimu ilipatikana mbona?Nchi hizi mbili zitunze kisasi hiki muhimu dhidi ya Rwanda. Ukifika wakati sahihi tupige haswa bila huruma.