Usiombee hii kitu!Kama vipi zipigwe tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiombee hii kitu!Kama vipi zipigwe tu
Umeona ulochoongea hapa na ulochoongea juu kulivyo na utofauti,hapa nimekuelewa mkuuAskari wako wa jeshi alikuwa anapapaswa nyeti huku anarekodiwa na polisi force wa Rwanda na video ikarushwa mitandaoni. Hapo huoni kosa?
Ni mfezeesho mkuu, mmoja nimeona walianza na clip ya Kamanda wetu anahamasisha vijana wake “wapigwe hao kunguru wapigwe,” vijana wanaitikia “wapigwe”. Alafu inafuata hiyo video anasearchiwa akiwa mpooole.🥲🥲Yani kumrekodi mwanajeshi akisachiwa na askari polisi na kupost ndiyo kuonyesha kuwa nyinyi si lolote? Nadhani wanamaanisha hivyo.
Kumrekodi askari akipigwa sachi kiasi kile kisha kutuma kwenye mitandao ni moja ya uchokozi kati ya nchi na nchi.
Poleni mnaoona ni jambo la kawaida kurekodiwa kule na kuwekwa hadharani mitandaoni.
Kosa sio kusachiwa, kosa ni kurekodiwa kisha kupostiwa kwenye mitandao ya kijamii watu mbona wagumu kuelewa? Rwanda wanatutafuta maneno walicho fanya ni udhalilishaji dhidi ya jeshi letu bora na zuri kabisa East Africa. Pia raia wa Rwanda wengi tu, walikuwa wana sambaza kwa kasi video hio mitandaoni ili kujipa ujiko ( kujipakulia minyama) kwamba wametuweza. Takataka hawa. 🚮Hakuna mtu aliye juu ya sheria ,kama askari polisi alikuwa anatimiza majukumu yake kisheria hakuna kosa ,wapo wanaovaa gwanda za jeshi(JW) lakini si wanajeshi(Matapeli) - Japo video sijaiona nimetoa mtazamo general.
Aseee hii mliidaka chap namna hio.
M23 waliandika barua 1 tu UN ya JWTZ wanatumia dhana nzito,toka hapo majeshi ya SADC yakafungwa mikono,vita inayoendelea congo hao m23 ni UN ndio wanaofanya icheleweshweKuna zile video Jw waki Wachapa M23 na BM while waki shangilia ni walikua wanalinda amani pia sio
Kosa sio kusachiwa, kosa ni kurekodiwa kisha kupostiwa kwenye mitandao ya kijamii watu mbona wagumu kuelewa? Rwanda wanatutafuta maneno walicho fanya ni udhalilishaji dhidi ya jeshi letu bora na zuri kabisa East Africa. Pia raia wa Rwanda wengi tu, walikuwa wana sambaza kwa kasi video hio mitandaoni ili kujipa ujiko ( kujipakulia minyama) kwamba wametuweza. Takataka hawa. 🚮
Yani kumrekodi mwanajeshi akisachiwa na askari polisi na kupost ndiyo kuonyesha kuwa nyinyi si lolote? Nadhani wanamaanisha hivyo.
Kumrekodi askari akipigwa sachi kiasi kile kisha kutuma kwenye mitandao ni moja ya uchokozi kati ya nchi na nchi.
Poleni mnaoona ni jambo la kawaida kurekodiwa kule na kuwekwa hadharani mitandaoni.
Wale m23 wanapigana na fardc,fdrl na jeshi la burundi,vikosi SADC na monusco vimepewa mipaka yake ya kupigana na hao UN,siku hao m23 UN ikiwatambua kama kikundi cha kigaidi kama ilivyokua kwa unita ya savimbi,maji wataita mmaMkuu UNESCO wamepiga sana madini ya congo so HATA Hawa uwezi jua wanasaidia na un unashangaa kelele tu Nje akapela tupuu
hebu tuone hiyo video tutathmini kama kweli kadhalilishwa huyo mjeda.
Mkuu UN wako kazini wewe ..Wale m23 wanapigana na fardc,fdrl na jeshi la burundi,vikosi SADC na monusco vimepewa mipaka yake ya kupigana na hao UN,siku hao m23 UN ikiwatambua kama kikundi cha kigaidi kama ilivyokua kwa unita ya savimbi,maji wataita mma
Walio rekodi ni wa nyarwanda na waka ipost pia.Okay nilijua hiyo video ni ya kwetu nchini kumbe imerecordiwa na wanyarwanda...Kwa zaidi soma kitabu cha ujasusi wa kidola na kiuchumi.
Video hiyo ilitengenezwa kwa kusudi maalum, kufikisha ujumbe na kueneza propaganda.Yani kumrekodi mwanajeshi akisachiwa na askari polisi na kupost ndiyo kuonyesha kuwa nyinyi si lolote? Nadhani wanamaanisha hivyo.
Kumrekodi askari akipigwa sachi kiasi kile kisha kutuma kwenye mitandao ni moja ya uchokozi kati ya nchi na nchi.
Poleni mnaoona ni jambo la kawaida kurekodiwa kule na kuwekwa hadharani mitandaoni.
Tupe ushaur mkuu, tufanye nin?Yani kumrekodi mwanajeshi akisachiwa na askari polisi na kupost ndiyo kuonyesha kuwa nyinyi si lolote? Nadhani wanamaanisha hivyo.
Kumrekodi askari akipigwa sachi kiasi kile kisha kutuma kwenye mitandao ni moja ya uchokozi kati ya nchi na nchi.
Poleni mnaoona ni jambo la kawaida kurekodiwa kule na kuwekwa hadharani mitandaoni.
Hii video imenihuzunisha sana.Yani kumrekodi mwanajeshi akisachiwa na askari polisi na kupost ndiyo kuonyesha kuwa nyinyi si lolote? Nadhani wanamaanisha hivyo.
Kumrekodi askari akipigwa sachi kiasi kile kisha kutuma kwenye mitandao ni moja ya uchokozi kati ya nchi na nchi.
Poleni mnaoona ni jambo la kawaida kurekodiwa kule na kuwekwa hadharani mitandaoni.
Polisi wa nchi gani mkuu? Kama ni hapa kwetu wanachokitafuta watakipata muda si mrefu! Kwanza walishatangaziwa beef na Wajelajela! Shauri yao!Yani kumrekodi mwanajeshi akisachiwa na askari polisi na kupost ndiyo kuonyesha kuwa nyinyi si lolote? Nadhani wanamaanisha hivyo.
Kumrekodi askari akipigwa sachi kiasi kile kisha kutuma kwenye mitandao ni moja ya uchokozi kati ya nchi na nchi.
Poleni mnaoona ni jambo la kawaida kurekodiwa kule na kuwekwa hadharani mitandaoni.
Na wewe tutolee ujinga wako hapaHiyo ni kawaida tu! Ni taratibu za kila nchi kuhakiki wageni.