Aliyeweka video ya mwanajeshi akisachiwa kwenye mitandao kwani anatuma ujumbe gani?

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
11,795
Reaction score
36,704
Yani kumrekodi mwanajeshi akisachiwa na askari polisi na kupost ndiyo kuonyesha kuwa nyinyi si lolote? Nadhani wanamaanisha hivyo.

Kumrekodi askari akipigwa sachi kiasi kile kisha kutuma kwenye mitandao ni moja ya uchokozi kati ya nchi na nchi.

Poleni mnaoona ni jambo la kawaida kurekodiwa kule na kuwekwa hadharani mitandaoni.
 
Hakuna mtu aliye juu ya sheria ,kama askari polisi alikuwa anatimiza majukumu yake kisheria hakuna kosa ,wapo wanaovaa gwanda za jeshi(JW) lakini si wanajeshi(Matapeli) - Japo video sijaiona nimetoa mtazamo general.
 
Yani kumrekodi mwanajeshi akisachiwa na askari polisi na kupost ndiyo kuonyesha kuwa nyinyi si lolote? Nadhani wanamaanisha hivyo.

Kumrekodi askari akipigwa sachi kiasi kile kisha kutuma kwenye mitandao ni moja ya uchokozi kati ya nchi na nchi.

Poleni mnaoona ni jambo la kawaida kurekodiwa kule na kuwekwa hadharani mitandaoni.

Wengi mnaona kama kitu cha ajabu ila ni kawaida kutii mamlaka za nchi uliyopo kwa wakati huo hatakama ni mwanajeshi lazima asachiwe ndio taratibu,cha msingi hawajapolwa walivyo navyo.
 
Aliyefanya hivyo ametutukana WATANZANIA wote.

Rais Kagame anatakiwa aombe radhi kwa kitendo cha kurekodi ilo tukio na kusamabaza kwenye mitandao ya kijamaii.

Kusachiwa sio kosa ila kutekodiwa na kusambaza ni tusi kubwa kwa Watanzania.
 
Ujumbe ni kwamba Vikosi vyetu huko vimesarenda, sema hatuambiwi ukweli, Askari waliosarenda ndio husachiwa.

Hatuambiwi ukweli tu na hawa Viongozi wa mboga mboga fc.

Tutawaadhibu kwenye Box la kura kwa kulidhalilisha Jeshi letu la Wananchi.
 
Back
Top Bottom