SINGLE WINDOW
JF-Expert Member
- Sep 2, 2021
- 356
- 278
Matusi ya kazi gani we kunguni wa lumumba?Sasa ka unataka siukafungue kesi ulete na mashahidi kuja kujamba humu jukwaani unatuchafulia Hali ya hewa tu
Chadema mnatapatapa tu
Mungu haonei Bali hutenda haki
Kama fundisho kwa wengine ,Mungu ametupa akili na utashi tukivitumia vibaya tunaangamia ,lakini ni hatua nyingine ya kujifunziaYes, Ila lazima awachape uzao WA waovu ambao kimsingi hawakutenda kosa
Makonda hawezi kukamatwa milele.Nimepata taarifa kwamba Ndugu Paul Makonda anasumbua sana viongozi huku na kule kutaka kujua hatima yake ndani ya nchi hii.
Nimsihi tu wakati wa kunyolewa inabidi atulie. Acha kusumbua viongozi ili dola ifanye kazi yake. Ungewasumbua kabla ya kuvamia Clouds na silaha za kivita,ili wakushauri.
Amekuwa na wasiwasi wa kutiwa nguvuni muda wowote. Wajinga wachache wanamshauri atoroke. Aende wapi na Interpol ipo,utadakwa tu.