Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

Sasa ka unataka siukafungue kesi ulete na mashahidi kuja kujamba humu jukwaani unatuchafulia Hali ya hewa tu
 
Huyo alikua Leader wa Gangstars...Angalieni usoni alivokua na majivuno!!Huyu aspokamatwa itakua Ni business as usual. Anatakiwa akasachiwe selo na manyampala!!
 
Nimepata taarifa kwamba Ndugu Paul Makonda anasumbua sana viongozi huku na kule kutaka kujua hatima yake ndani ya nchi hii.

Nimsihi tu wakati wa kunyolewa inabidi atulie. Acha kusumbua viongozi ili dola ifanye kazi yake. Ungewasumbua kabla ya kuvamia Clouds na silaha za kivita,ili wakushauri.

Amekuwa na wasiwasi wa kutiwa nguvuni muda wowote. Wajinga wachache wanamshauri atoroke. Aende wapi na Interpol ipo,utadakwa tu.
 
Makonda hawezi kukamatwa milele.
 
Back
Top Bottom