Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

Kinenuka !
 
Kumbe kwa sasa tukae kwa kutulia Maana naona mahandaki yanachimbwa.
 
Akamatwe mara moja!
 
Makonda hawezi kukamatwa milele.

Ni kweli, lakini haiondoi ukweli kuwa yeye ni mmoja ya watu waliotumika na Magufuli kutenda uhalifu kwa watanzania waliokuwa na mitazamo tofauti na utawala wake, au matajiri aliokuwa hawapendi. Kwa sasa wakati bado ccm inakaa madarakani kwa wizi wa kura anaweza kupata kinga ya muda, ila atatiwa nguvuni siku moja, na atalipa unyama wote waliofanya kwa kushirikiana na Magufuli. Mwenzake Sabaya ameanza kukiri kuwa alikuwa anatumwa na Magufuli kufanyia watu unyama.
 
Mama alikuwa na bifu lake na sabaya .makonda mshikaj wake sana
Nasikia Bashite na Mama siku hizi haziendi sawa,Nasikia alimpakazia kwa jiwe,hadi jiwe akambadilishia Mama msaidizi wake,Bashite alimtaka msaidiz wa Mama wapige mshindo furani,msaidizi akachomoa,kuona hivyo Bashite akaenda kumpakazia kwa Jiwe,akahamishwa,Msaidizi ikabidi amueleze ukweli Mama,tokea hapo picha limesanuka...Kwa hiyo chochote chaweza tokea.
 
Nakusudia Kumfungulia Mashtaka kama Dola itasuasua hatuwezi kulea Watesaji wa Wananchi wakati hata Kinga hawana
 
Najua hii story huyo dada namjua....pia masikini karudishwa dodoma kijiweni ....walidanganya mama anaenda course kumbe fitna....Makonda ashitakiwe kujibu makosa yake ya jinai muda upo
 
Kwani Sabaya leo hii kafungwa ni wapinzani wako madarakani? Unadhani kila siku atakaa madarakani kiongozi anayefumbia macho uovu? Kwahiyo mnafanya uovu kwakuwa mnajua ccm itaendelea kuwa madarakani ili ilinde maovu yenu?
Kwanza hebu niambie umeshaenda kumjulia hali Gaidi Mbowe kule Segerea au upo tu JF wakati Mwenyekiti wako ananyea ndoo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…