Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinenuka !Nimepata taarifa kwamba Ndugu Paul Makonda anasumbua sana viongozi huku na kule kutaka kujua hatima yake ndani ya nchi hii.
Nimsihi tu wakati wa kunyolewa inabidi atulie. Acha kusumbua viongozi ili dola ifanye kazi yake. Ungewasumbua kabla ya kuvamia Clouds na silaha za kivita,ili wakushauri.
Amekuwa na wasiwasi wa kutiwa nguvuni muda wowote. Wajinga wachache wanamshauri atoroke. Aende wapi na Interpol ipo,utadakwa tu.
Ndio maana kuna umuhimu wa katiba mpya, kumbe rais anaweza kukufunga kirahisi tu.Mama alikuwa na bifu lake na sabaya .makonda mshikaj wake sana
Ushamgeuka !Nina mchumba ninayetarajia kumuoa hivi karibuni na mahari nimeshatoa. Naomba mahakama iniachie huru. [emoji23]
Kumbe kwa sasa tukae kwa kutulia Maana naona mahandaki yanachimbwa.Nimepata taarifa kwamba Ndugu Paul Makonda anasumbua sana viongozi huku na kule kutaka kujua hatima yake ndani ya nchi hii.
Nimsihi tu wakati wa kunyolewa inabidi atulie. Acha kusumbua viongozi ili dola ifanye kazi yake. Ungewasumbua kabla ya kuvamia Clouds na silaha za kivita,ili wakushauri.
Amekuwa na wasiwasi wa kutiwa nguvuni muda wowote. Wajinga wachache wanamshauri atoroke. Aende wapi na Interpol ipo,utadakwa tu.
Yaani Makungu huyu huyu RAS wa Tabora?Makonda atakamatwa lakini Ni vizuri akaunganishwa na Kapilimba na Yule aliyepelekwa tabora mkuu wa vikosi vya wasiojulikana.
Nimepata taarifa kwamba Ndugu Paul Makonda anasumbua sana viongozi huku na kule kutaka kujua hatima yake ndani ya nchi hii.
Nimsihi tu wakati wa kunyolewa inabidi atulie. Acha kusumbua viongozi ili dola ifanye kazi yake. Ungewasumbua kabla ya kuvamia Clouds na silaha za kivita,ili wakushauri.
Amekuwa na wasiwasi wa kutiwa nguvuni muda wowote. Wajinga wachache wanamshauri atoroke. Aende wapi na Interpol ipo,utadakwa tu.
Modest mchungaji yule sidhani kama ana shida kwenye uongozi wake pale idarani, shida ni ilio kua mamlaka ya uteuzi.Makonda atakamatwa lakini Ni vizuri akaunganishwa na Kapilimba na Yule aliyepelekwa tabora mkuu wa vikosi vya wasiojulikana.
Makonda hawezi kukamatwa milele.
Kwa Sabaya mlisema hivyo hivyoMakonda hawezi kukamatwa milele.
Nasikia Bashite na Mama siku hizi haziendi sawa,Nasikia alimpakazia kwa jiwe,hadi jiwe akambadilishia Mama msaidizi wake,Bashite alimtaka msaidiz wa Mama wapige mshindo furani,msaidizi akachomoa,kuona hivyo Bashite akaenda kumpakazia kwa Jiwe,akahamishwa,Msaidizi ikabidi amueleze ukweli Mama,tokea hapo picha limesanuka...Kwa hiyo chochote chaweza tokea.Mama alikuwa na bifu lake na sabaya .makonda mshikaj wake sana
Kwani Sabaya amefungwa?? Baadae unaanza kulaumu mahakama.Kwa Sabaya mlisema hivyo hivyo
Nakusudia Kumfungulia Mashtaka kama Dola itasuasua hatuwezi kulea Watesaji wa Wananchi wakati hata Kinga hawanaNimepata taarifa kwamba Ndugu Paul Makonda anasumbua sana viongozi huku na kule kutaka kujua hatima yake ndani ya nchi hii.
Nimsihi tu wakati wa kunyolewa inabidi atulie. Acha kusumbua viongozi ili dola ifanye kazi yake. Ungewasumbua kabla ya kuvamia Clouds na silaha za kivita,ili wakushauri.
Amekuwa na wasiwasi wa kutiwa nguvuni muda wowote. Wajinga wachache wanamshauri atoroke. Aende wapi na Interpol ipo,utadakwa tu.
Najua hii story huyo dada namjua....pia masikini karudishwa dodoma kijiweni ....walidanganya mama anaenda course kumbe fitna....Makonda ashitakiwe kujibu makosa yake ya jinai muda upoNasikia Bashite na Mama siku hizi haziendi sawa,Nasikia alimpakazia kwa jiwe,hadi jiwe akambadilishia Mama msaidizi wake,Bashite alimtaka msaidiz wa Mama wapige mshindo furani,msaidizi akachomoa,kuona hivyo Bashite akaenda kumpakazia kwa Jiwe,akahamishwa,Msaidizi ikabidi amueleze ukweli Mama,tokea hapo picha limesanuka...Kwa hiyo chochote chaweza tokea.
Duh! Nadhani nabishana na kichaa! Hapana hajafungwa, amepata kazi mpya gerezaniKwani Sabaya amefungwa?? Baadae unaanza kulaumu mahakama.
Kwanza hebu niambie umeshaenda kumjulia hali Gaidi Mbowe kule Segerea au upo tu JF wakati Mwenyekiti wako ananyea ndoo??Kwani Sabaya leo hii kafungwa ni wapinzani wako madarakani? Unadhani kila siku atakaa madarakani kiongozi anayefumbia macho uovu? Kwahiyo mnafanya uovu kwakuwa mnajua ccm itaendelea kuwa madarakani ili ilinde maovu yenu?
Kumbe ameenda nyumbani kujumuika na mchumba wake?Kwani Sabaya amefungwa?? Baadae unaanza kulaumu mahakama.
Hata mimi najua hivyo ndiyo maana nilikuwa nashangaa!!Duh! Nadhani nabishana na kichaa! Hapana hajafungwa, amepata kazi mpya gerezani