Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

Sjui kama ben saa nane ataombwa msamaha huko aliko,alfonsi mawazo, na wengineo waliouawa na kaka yako.
Adhabu imkute hapa hapa duniani ili atubu akiwa na mfueni za kutosha
 
Comment yako imetawaliwa na neno la "Nasikia" JF huenda kwa fact na sio kutumia neno nasikia,unasikia kutoka wapi? hearsay haiwezi kutumika as an evidence.
 
Laa kazi kweli kweli, jee lini mara ya mwisho umemuona Makonda? Mtumie nauli arudi, yuko University of Uppsala, Sweden anafanya Master in Government and Management. Kamfuate.
Hao ni wapumbavu na wote hao wanaotaka Makonda akamatwe ni watu wenye chuki na Magufuli over!
 
Ww ndio kapilimba mwenyewe nini? Maana mlishirikiana na Magufuli kuendesha uhalifu na ukatili wa hali ya juu ndani ya nchi hii.
Msaidizi wake yuko RAS Tabora ndio muuaji no 1 pia kuna mwingine John Nyaulingo alivunjika mifuu anaweweseka kwa damu za watu hadi sasa........damu za watu hazìtawaacha kamwe....Makonda pia....Henry Kisanduku usimuache.....damu damu damu
 
Msaidizi wake yuko RAS Tabora ndio muuaji no 1 pia kuna mwingine John Nyaulingo alivunjika mifuu anaweweseka kwa damu za watu hadi sasa........damu za watu hazìtawaacha kamwe....Makonda pia....Henry Kisanduku usimuache.....damu damu damu
duuuuh
 
Mambo aliyoyafanya ingekua kama ni Mexico ama Colombia wangekua wamesha mmaliza
Kweli Tanzania ni nchi ya amani!!Yaani kwa maumivu yale ya teka teka watu!Bado Makonda hajapigwa wala kujeruhiwa na kina MO,ROMA MKATOLIKI,WAHANGA WA KUTAJWA KWENYE MADAWA YA KULEVYA!!NA N.K???MI NILIDHANI HADI SASA MAKONDA ANGEKUA KABURINI!!!!
 
Kwanza hebu niambie umeshaenda kumjulia hali Gaidi Mbowe kule Segerea au upo tu JF wakati Mwenyekiti wako ananyea ndoo??
Mbowe kuwa segerea ni matakwa ya Sabaya na lile Jini tulilolizika ila MUNGU atatenda Miujiza
 
Umezipata wapi hizo taarifa?
Mbona takukuru walishatoa taarifa kwamba hawana mpango nae?
 
Akili ya kitanzania ndio hii kufurahia kuanguka kwa mwenzake.

Labda upeleke kikosi cha kwako ndio utaweza kumkamata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…