Makonda ni mhalifu usimtetee, ni suala la muda tu atakabiliana na mkono wa sheria. Kutakachomuokoa ni kifo tu kama MagufuliAkili ya kitanzania ndio hii kufurahia kuanguka kwa mwenzake.
Labda upeleke kikosi cha kwako ndio utaweza kumkamata.
Msoga wangekuwa ndiyo wanaongoza nchi (Kama baadhi ya watu wanavyosema), Bashite angekuwa ndani leo hii, ni namba moja katika most wanted list ya Msoga GangKesi za uhalifu dhidi ya binadamu kama utekaji, mauaji na jinai zingine hazina ukomo wa muda.
Vote rigging is unsustainable, meaning wanaomkingia kifua hawatakuwepo madarakani melele. So, panapo uzima, atakamatwa tu sooner or later
Hata Sabaya mlisema wanamsingizia.Hao wengine unawasingizia hawastahili kukamatwa
Akili ya kitanzania ndio hii kufurahia kuanguka kwa mwenzake.
Labda upeleke kikosi cha kwako ndio utaweza kumkamata.
Mtasubiri sana nyie wapuuzi na msoga wenu! Kwa taarifa yako makonda anajua siri nyingi sana za hawa viongozi! Na makonda anakundi kubwa la watu kwenye system!Msoga wangekuwa ndiyo wanaongoza nchi (Kama baadhi ya watu wanavyosema), Bashite angekuwa ndani leo hii, ni namba moja katika most wanted list ya Msoga Gang
Miezi inakwenda inakuja miaka inapita kwa kasi.Makonda ni mhalifu usimtetee, ni suala la muda tu atakabiliana na mkono wa sheria. Kutakachomuokoa ni kifo tu kama Magufuli
Nyie kina Okwi acheni kupikia wenzenu sumu, nchi hii sio ya visasi m**a nyie.Nimepata taarifa kwamba Ndugu Paul Makonda anasumbua sana viongozi huku na kule kutaka kujua hatima yake ndani ya nchi hii.
Nimsihi tu wakati wa kunyolewa inabidi atulie. Acha kusumbua viongozi ili dola ifanye kazi yake. Ungewasumbua kabla ya kuvamia Clouds na silaha za kivita,ili wakushauri.
Amekuwa na wasiwasi wa kutiwa nguvuni muda wowote. Wajinga wachache wanamshauri atoroke. Aende wapi na Interpol ipo,utadakwa tu.
Hakuna mkuu zaidi ya serikali/sytem nchi zote duniani, Hata Rais pia hawezi kuwa mkubwa zaidi ya serikali!! Kama Rais akizingua ANAONDOLEWA sembuse huyu tahira Bashite? Huyo Bashite wako anaweza akakabidhiwa kwa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya tu na ikamgaragaza vibaya mnooo, na hilo kundi lake unalosema ndiyo watakuwa wa kwanza kuchoma na kumzodoa!! Watu wanaangalia matumbo yao wewe, Wake Up...Mtasubiri sana nyie wapuuzi na msoga wenu! Kwa taarifa yako makonda anajua siri nyingi sana za hawa viongozi! Na makonda anakundi kubwa la watu kwenye system!
Taahira ni wewe TAKUKURU walishasema hawana nia! Kashitaki wewe hapo acha maneno!Hakuna mkuu zaidi ya serikali/sytem nchi zote duniani, Hata Rais pia hawezi kuwa mkubwa zaidi ya serikali!! Kama Rais akizingua ANAONDOLEWA sembuse huyu tahira Bashite? Huyo Bashite wako anaweza akakabidhiwa kwa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya tu na ikamgaragaza vibaya mnooo, na hilo kundi lake unalosema ndiyo watakuwa wa kwanza kuchoma na kumzodoa!! Watu wanaangalia matumbo yao wewe, Wake Up...
Sidhani kama Makonda atakamatwa hivi karibuni lakini ni lazima siku moja atakamatwa tu, na kushtakiwa. Hata ipite miaka mingapi.Makonda hawezi kukamatwa milele.
Tena umemjibu kistaarabu sanaDuh! Nadhani nabishana na kichaa! Hapana hajafungwa, amepata kazi mpya gerezani
Hawakusema hawana nia, acha kuzusha, walisema kama watamuhitaji basi watatoa taarifa kwa umma!! And soon hilo tahira lako litahitajika TAKUKURUTaahira ni wewe TAKUKURU walishasema hawana nia! Kashitaki wewe hapo acha maneno!
Akili za kuamka na hangover za gongo ndio hizi.Hahaha mnateseka na makonda, makonda hawezi guswa kabisa na 2025 anagombea ubunge hamtaamini