Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

Akili ya kitanzania ndio hii kufurahia kuanguka kwa mwenzake.

Labda upeleke kikosi cha kwako ndio utaweza kumkamata.
Makonda ni mhalifu usimtetee, ni suala la muda tu atakabiliana na mkono wa sheria. Kutakachomuokoa ni kifo tu kama Magufuli
 
Kesi za uhalifu dhidi ya binadamu kama utekaji, mauaji na jinai zingine hazina ukomo wa muda.

Vote rigging is unsustainable, meaning wanaomkingia kifua hawatakuwepo madarakani melele. So, panapo uzima, atakamatwa tu sooner or later
Msoga wangekuwa ndiyo wanaongoza nchi (Kama baadhi ya watu wanavyosema), Bashite angekuwa ndani leo hii, ni namba moja katika most wanted list ya Msoga Gang
 
Ukishamwaga damu za watu ni lzm zikudai nawe utakuwa mtu wa kuhangaika kama kaini.
 
Waliokuwa Sana na Askofu Shoo hawakusikia jiwe akalituma lile takataka lake ropo ropo kuwatukana viongozi wa dini kupitia vijarida vyake uchwara.
Uovu hauwezi shinda
 
Msoga wangekuwa ndiyo wanaongoza nchi (Kama baadhi ya watu wanavyosema), Bashite angekuwa ndani leo hii, ni namba moja katika most wanted list ya Msoga Gang
Mtasubiri sana nyie wapuuzi na msoga wenu! Kwa taarifa yako makonda anajua siri nyingi sana za hawa viongozi! Na makonda anakundi kubwa la watu kwenye system!
 
Nimepata taarifa kwamba Ndugu Paul Makonda anasumbua sana viongozi huku na kule kutaka kujua hatima yake ndani ya nchi hii.

Nimsihi tu wakati wa kunyolewa inabidi atulie. Acha kusumbua viongozi ili dola ifanye kazi yake. Ungewasumbua kabla ya kuvamia Clouds na silaha za kivita,ili wakushauri.

Amekuwa na wasiwasi wa kutiwa nguvuni muda wowote. Wajinga wachache wanamshauri atoroke. Aende wapi na Interpol ipo,utadakwa tu.
Nyie kina Okwi acheni kupikia wenzenu sumu, nchi hii sio ya visasi m**a nyie.
Tegeeni sikio hii kesi ya gaidi baba mkwe wa kweka, halafu tutaheshimiana.
Nani alikwambia Makonda anasumbuliwa?
Au Marinda yamekaza tena unatafuta wa kuyalegeza?
 
Ningekua kiongozi ,ningekarabati majela kwa kweli na huduma Bora.

Maana dah
 
Mtasubiri sana nyie wapuuzi na msoga wenu! Kwa taarifa yako makonda anajua siri nyingi sana za hawa viongozi! Na makonda anakundi kubwa la watu kwenye system!
Hakuna mkuu zaidi ya serikali/sytem nchi zote duniani, Hata Rais pia hawezi kuwa mkubwa zaidi ya serikali!! Kama Rais akizingua ANAONDOLEWA sembuse huyu tahira Bashite? Huyo Bashite wako anaweza akakabidhiwa kwa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya tu na ikamgaragaza vibaya mnooo, na hilo kundi lake unalosema ndiyo watakuwa wa kwanza kuchoma na kumzodoa!! Watu wanaangalia matumbo yao wewe, Wake Up...
 
Taahira ni wewe TAKUKURU walishasema hawana nia! Kashitaki wewe hapo acha maneno!
 
Ishakula kwake jamaa nlimwambia aache yale mambo ya kunyanyasa watu hakunisikia nmemuonya mara nyingi kama kaka yake

Sasa anaenda kulinywa alikoroga mwenyewe wenye hekima tuliona hilo
Hawa vijana wetu wana mihemko Sana

Ajiandae tuu tulimuonya Sana hakusikia

Ukiwa kiongoz usinyanyase watu
 
Taahira ni wewe TAKUKURU walishasema hawana nia! Kashitaki wewe hapo acha maneno!
Hawakusema hawana nia, acha kuzusha, walisema kama watamuhitaji basi watatoa taarifa kwa umma!! And soon hilo tahira lako litahitajika TAKUKURU
 
hata anayetenda yote hayo unayodhani hana ukubwa wowote.
kama tafsiri hako ina maana uliyokusudia.
 
Back
Top Bottom