pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Pale ndio corona ilitenda haki!Paul makonda ni gaidi..alimpiga marisasi lissu aisaee...huyu dogo na roho mbaya saana kwa kweli
Watoto wa Jiwe walijua baba yao hatakufa..kafaaa na watanzania tuliomba sana corona ifanye yake....ikatenda...
Zaidi ya hatari see, ila alilindwa na mtu mmoja mnene sana.Ya Sabaya tumeyaona, lakini uovu wa Sabaya ni kama 5% tu kwa uovu aliofanya Paul Makonda au Daudi Bashite.
Inadaiwa Makonda anahusika moja kwa moja na matukio yafuatayo;
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji
Kama Paul Makonda hatachukuliwa hatua za kisheria, basi itakuwa ni DOUBLE STANDARDS
Anajua siri gani za nchi wewe acha kumpambaMakonda anajua siri zote za nchi ataenda kuzitapika maana alikuwa anarecord yote walikuwa wanaongea na mzee
Suala la kumshtaki Makonda liko ndani ya mhimili wa Rais kupitia ofisi ya DPP. Ila kusema Makonda ana hatia au hana hatia ndiyo liko mhimili wa MahakamaWavunja nchi ni wananchi..., Yaani huku tunalalamikia madaraka ya Rais kuvuka mipaka, wakati ule ule tunaomba / tunataka aendelee kuleta mambo ya ki-ufalme
Tuchague moja.... Kama vipi tuachane na haya mambo ya mihimili
Subiri utaonaAnajua siri gani za nchi wewe acha kumpamba
Ni mshirikina balaaLabda wa jela.
Huyo ameshafutwa kwenye ulimwengu wa roho ni mfu mtarajiwa
Waganga ndio waliomshauri upumbavu Ili wale pesa zake na hawana uwezo wa kumuokoa.Ni mshirikina balaa
Waganga wake siyo mchezoWaganga ndio waliomshauri upumbavu Ili wale pesa zake na hawana uwezo wa kumuokoa.
Akifungukiwa unistue nitakuja na mashahidi wengine kumi
Hana lolote wakati bado haujafika wakulipa aliyoyafanyaSubiri utaona
Waganga wangekuwa na uwezo wangemfufua kwanza Magufuli maana walikuwa ni sehemu ya maisha yakeWaganga ndio waliomshauri upumbavu Ili wale pesa zake na hawana uwezo wa kumuokoa.
Makonda hawezi kukwepa kunywea kikombe anachonywea Sabaya, ni suala la muda tuHana lolote wakati bado haujafika wakulipa aliyoyafanya
Kwa elimu Gani?Ngoja tuone lakini usishangae akateuliwa kuwa hata Balozi
Kabla ajaondoka duniani ni lzm alipwe hesabu zakeWaganga wangekuwa na uwezo wangemfufua kwanza Magufuli maana walikuwa ni sehemu ya maisha yake
Wale wa Simiyu sijui walifia wapi na mkwara wao
Makonda hawezi kukwepa kunywea kikombe anachonywea Sabaya, ni suala la muda tu
Kama barmaid ameteuliwa kuwa DC huko Mbeya inashindakana nini kwa Makonda na masters yake?Kwa elimu Gani?
Kwa huu utawala katili ataendelea kuwepo sn mpk tutasahauHana lolote wakati bado haujafika wakulipa aliyoyafanya
Mungu alitenda yake kwa jinsi yake. Magufuli huyo kuzimuKipindi hicho, hizi ni kumbukumbu mujarabuView attachment 2100849
Wakuu Kwema!
Kuomba msamaha ni ushujaa, msamaha ni neno la kijeshi katika mapambano.
Unapomkosea mtu akawa na uchungu na wewe basi jua kuwa ipo siku yako, Kama sio wewe basi moja ya kizazi chako.
Upepo unavuma, wenye macho haya tuliyaona miaka mitatu minne iliyopita, tuliandika na kuonya hasa Wale waliojitia Wana nguvu ambazo kimsingi hawana,
Nilishawahi kuandika na Leo narudia, ukipewa Cheo chochote iwe ni Urais,Uwaziri, u-IGP au Cheo chochote kile usije ukadhani wewe ni Mkubwa, huna ukubwa wowote, huna lolote,
Siku zote mkubwa ni yule atendaye haki, apendaye maagizo ya Mungu, mwenye upendo, asiye na fitna na hila, asiyeua wala kumwaga damu za watu wasio na hatia.
Vile unavyotumia nguvu kuonea watu, na kuwatesa watu hasa wasio na hatia ndivyo hivyo hivyo Mungu atatumia nguvu kukuonea na kukutesa.
Vile watoto wa watu ulivyowaua na kuwaangamiza wanavyoteseka, ndivyo hivyo hivyo watoto wako na kizazi chako kitakavyo Tessa na MUNGU.
Kila siku nasema Mungu ni mwaminifu, ana Haki. Huwezi Tesa watu alafu ati uishi Kwa Raha, haijawahi tokea na kamwe haitatokea. Ni suala la muda tuu.
Mungu hajakupa Cheo ili utese watu, Ili uwadhulumu watu, ili uwavuruge watu wake.
Kaka yangu, Kama utanisikia naomba uzingatia haya, tafuta uliowakosea Kama wapo, uwaombe Radhi, Watafute Kwa muda wako,
Usiende kuomba Mungu msamaha, huko unaenda kupoteza muda wako, Mungu haombwagi Msamaha,
Upepo unavuma, bendera uelekeo unaenda mashariki.
Kaka yangu ni Bora Mungu akulipe wewe kwani wewe ndiye uliyekosea kuliko kukuacha wewe na kuhamishia kipigo kwenye kizazi chako.
Baba alichelewa kujihami, alikurupuka kukiwa kumekucha, akakesha akiomba, akataja majina matamu ya Mungu Mkuu lakini hiyo haikumsaidia. Na nadiriki kusema, watoto walioachwa na Baba, mke na wajukuu wanapaswa waombe toba ya kweli kwani vita ya Mungu haimalizwi na kaburi. Vita ya Mungu haimalizwi na mauti, vita vya kibinadamu ndio halimalizwa na kifo.
Kaka yangu.
Bado hujachelewa. Tafuta uliowakosea uwaombe Radhi kuanzia mwakani 2022 mpaka 2025 utakuwa katika vita mbaya na Mungu Mkuu.
Nimekuambia mapema ili ujihami Kwa kuomba Msamaha Kwa uliowakosea ili Mungu aghairi.
Vinginevyo Mungu atakuwa mwaminifu kwako Kwa 100% kukutesa Kama ulivyofanya.
Mimi mdogo wako;
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Morogoro