Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Vijana tiifu wa uvccmPoint! CCM watakuja kumkana Makonda siku moja kama walivyomkana Hamza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana tiifu wa uvccmPoint! CCM watakuja kumkana Makonda siku moja kama walivyomkana Hamza
We dada soma alama za nyakati, TAKUKURU ya mwendakuzimu siyo TAKUKURU itakayokuwa ya miaka miwili,mitatu ijayo.Taahira ni wewe TAKUKURU walishasema hawana nia! Kashitaki wewe hapo acha maneno!
Taahira nani dada hapa!? Ujue pia hawafanyi kazi kwa mihemko kama ww!We dada soma alama za nyakati, TAKUKURU ya mwendakuzimu siyo TAKUKURU itakayokuwa ya miaka miwili,mitatu ijayo.
Huyo bwana 'ako lazima akinywee kikombe![emoji16][emoji16]
Angekua mexico huyuKweli Tanzania ni nchi ya amani!!Yaani kwa maumivu yale ya teka teka watu!Bado Makonda hajapigwa wala kujeruhiwa na kina MO,ROMA MKATOLIKI,WAHANGA WA KUTAJWA KWENYE MADAWA YA KULEVYA!!NA N.K???MI NILIDHANI HADI SASA MAKONDA ANGEKUA KABURINI!!!!
Hawezi kusema alirekodiwa video akiliwa jicho,akisema tu zinavujishwa,makonda ni shetaniRoma si wa kusema angekua kashasema mpaka sasa hivi.
Aaaaaaa Liberata Mulamula ni bomu hapa Foreign Affairs!! That woman is hopeless and unethical to the maximumMama hana mshkaji, Utawala wake haangalii sura ya mtu! Hata huyo Mulamula akizingua anamchomoa! Bashite muda wake unakuja soon, ni mtu mmoja tu atalianzisha then uchafu wote utawekwa hadharani, anamaadui kila sehemu; Upinzani, ndani ya CCM, marafiki wake wa zamani, wastaafu, Wafanyabiashara wakubwa, wananchi maskini, wafanyakazi....Kifupi hachomoki safari hii
Aaaaaaa Liberata Mulamula ni bomu hapa Foreign Affairs!! That woman is hopeless and unethical to the maximum
😆😆😆😆 alitaka ampange Ubalozi Usswis mdogo wake, Edwin Rute aliyekuwa DG wa Range are lakini alichemka akabakishwa hapoh
Aaaaaaa Liberata Mulamula ni bomu hapa Foreign Affairs!! That woman is hopeless and unethical to the maximum
😆😆😆😆 alitaka ampange Ubalozi Usswis mdogo wake, Edwin Rute aliyekuwa DG wa Range are lakini alichemka akabakishwa hapohapo Foreign Dar!!
apo Foreign Dar!!
...aliyekuwa DG wa Tantrade 🖕Aaaaaaa Liberata Mulamula ni bomu hapa Foreign Affairs!! That woman is hopeless and unethical to the maximum
😆😆😆😆 alitaka ampange Ubalozi Usswis mdogo wake, Edwin Rute aliyekuwa DG wa Range are lakini alichemka akabakishwa hapohapo Foreign Dar!!
Roma ni msanii tu yule, achana nayeRoma:
Jitokeze sasa rasmi uuseme ukweli, maana ulipata kusema baada ya kuachiwa kua waliokuteka walimtaja makonda kama aliewatuma.
Ni muda wa kuielezea dunia kile ambacho watesi wako walikua wanakueleza juu ya kuagizwa na makonda.
Hautakiwi kuficha kitu chochote kile kwenye hilo suala na walimtaja makonda mara nyingi wakati wa utesaji wako, toka hadharani ili dunia ielewe nini kiliendelea maana ukikaa kimya haisaidii lazima ujitokeze na ukichelewa nitasema maneno uliyotueleza siku ile wakati tunakupa pole pale ndani tulibakia watatu tu nadhani ushakumbuka.
Hiyo ni cheap blackmail hata akisema sasa hivi hiyo video haina nguvu haikua ridhaa yakeHawezi kusema alirekodiwa video akiliwa jicho,akisema tu zinavujishwa,makonda ni shetani
Roma:
Jitokeze sasa rasmi uuseme ukweli, maana ulipata kusema baada ya kuachiwa kua waliokuteka walimtaja makonda kama aliewatuma.
Ni muda wa kuielezea dunia kile ambacho watesi wako walikua wanakueleza juu ya kuagizwa na makonda.
Hautakiwi kuficha kitu chochote kile kwenye hilo suala na walimtaja makonda mara nyingi wakati wa utesaji wako, toka hadharani ili dunia ielewe nini kiliendelea maana ukikaa kimya haisaidii lazima ujitokeze na ukichelewa nitasema maneno uliyotueleza siku ile wakati tunakupa pole pale ndani tulibakia watatu tu nadhani ushakumbuka.
Ogopa mitandao ndugu,kufumba nakufumbua clip zako ukiliwa tigo zinasambaa kwenye mitandao yote ya ngono na hazitoki hadi watoto na wajukuu zako watazikutaHiyo ni cheap blackmail hata akisema sasa hivi hiyo video haina nguvu haikua ridhaa yake