Salama kabisaOoh pole sana, uko poa lkn kipenzi?
Mimi leo sisemi....cc mafutaπHivi unajua lazi za Wazee zilivyo Kali, we haya π
Nafurahi kusikiaSalama kabisa
Tupige kampeni bff ili tuuze white dress π€£π€£Wewe huwendi shosti?? ππππ
Niweke hapo namba 2 lazima nikae na babuOyoooooo!!! πππ
Ningeshangaa babu anaachaje kulipia meza ya VVIP huku wajukuu zake warembo tumepamba meza kwa white dresses tupo km white doves vileβ¦β¦
1.Lamomy
1β¦β¦β¦
2β¦β¦
3β¦β¦
4β¦β¦.
5β¦β¦
6β¦β¦..
7β¦β¦.
8β¦β¦
9β¦β¦
Wajukuu mjijaze wenyewe kabla idadi haijatosha ππππ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Muwe kwenye hiyo party harafu mara msikie sauti inasema kwa nguvu na kwa kuamrisha, MUWAZUNGUKE WOTEE ASITOKE ATA MMOJAπ€£π
Hiyo kauli imefanya Vijana wapoteze Imani na Wazee πMimi leo sisemi....cc mafutaπ
Tunyamaze mzeeHiyo kauli imefanya Vijana wapoteze Imani na Wazee π
ππππππππππππLamomy wangu mim nina watoto wawili Feni tedoka first born na mshamba_hachekwi second born na baba yao ako humu humu ndani.Nyie nimegundua mnapendana ila mmeamua kutuchosha tu wambea ππππ
Mfanye myamalize watu mmefikia hatua hadi familia zenu zinajuana!! Msitake tuingilie baadae tuonekane wabaya πππ
Binamu Lovelovie naomba muende chemba mkayajenge π
Mahiii dear mim sijawai kua na mahusiano wala na upendo wa kimapenzi na huyo kikulacho ingekua hivo basi kina poker, kina mshamba wote wangekua mabwana zangu kweli.Binamu malizeni tofauti zenu nyie mnapendana, ugomvi wa wapenzi naujua tone zao za uandishi πππππ
Nyie mna kitu
Kwa kweli Mzee mwenzanguTunyamaze mzee
Kama ni kweli acha kula akina mwajumaπKwa kweli Mzee mwenzangu
Isingekuwa uzoefu wa kuhimili changamoto, hao Vijana wangefanya Kisukari na Presha vinipande π
Thanks God all is well now
Kwa kweli Mzee mwenzangu
Isingekuwa uzoefu wa kuhimili changamoto, hao Vijana wangefanya Kisukari na Presha vinipande [emoji12]
Thanks God all is well now
Shikamoo dadaShikamoo babu
Shikamoo dada