All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

Oyoooooo!!! 😂😂😂
Ningeshangaa babu anaachaje kulipia meza ya VVIP huku wajukuu zake warembo tumepamba meza kwa white dresses tupo km white doves vile……

1.Lamomy
1………
2……
3……
4…….
5……
6……..
7…….
8……
9……
Wajukuu mjijaze wenyewe kabla idadi haijatosha 😂😂😂😂
Niweke hapo namba 2 lazima nikae na babu
 
Nyie nimegundua mnapendana ila mmeamua kutuchosha tu wambea 😂😂😂😂

Mfanye myamalize watu mmefikia hatua hadi familia zenu zinajuana!! Msitake tuingilie baadae tuonekane wabaya 😂😂😂
Binamu Lovelovie naomba muende chemba mkayajenge 😜
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Lamomy wangu mim nina watoto wawili Feni tedoka first born na mshamba_hachekwi second born na baba yao ako humu humu ndani.
Huyo alikua rafki tu na siwez cz napenda mwanaume mwenye sifa za kiume.
 
Binamu malizeni tofauti zenu nyie mnapendana, ugomvi wa wapenzi naujua tone zao za uandishi 😂😂😂😂😂
Nyie mna kitu
Mahiii dear mim sijawai kua na mahusiano wala na upendo wa kimapenzi na huyo kikulacho ingekua hivo basi kina poker, kina mshamba wote wangekua mabwana zangu kweli.

Kero yangu kubwa ilikua ni kunitukana hayo mambo ya mahusiano lbd anasema yeye.
Maan hadi kuna sehem kasema ety mim nimechukia cz nilidhani yeye ndio atakua future wangu. Hivi kweli😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom