All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

naunga mkono hoja πŸ’

lakini pia ikiwa hoja hii itapita, basi nathibitisha ntakuwepo mwenyewe kabisaa physically kibinafsi bila kwere wala mbambamba yoyote πŸ’

mambo ni πŸ”₯
 
Usijali Mjukuu

Nitalipia Meza ya Watu 10 nikae na Wajukuu zangu, Babu yenu nahitaji sana Ulinzi wenu wakati huu πŸ€—
Oyoooooo!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ningeshangaa babu anaachaje kulipia meza ya VVIP huku wajukuu zake warembo tumepamba meza kwa white dresses tupo km white doves vile……

1.Lamomy
1.Missy Gf
2……
3……
4…….
5……
6……..
7…….
8……
9……
Wajukuu mjijaze wenyewe kabla idadi haijatosha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Una hekaheka sana, kumbe ulistahili kipondo cha jana
Ukichukulia Kila kitu Serious sana hapa mtandaoni hautakawia kugombana na Kila mtu.

Maisha yenyewe yamebaki mafupi sana kuweza kutengeza kisasi Kwa Kila mtu as nina hakika hatufahamiani.

Kama kuna sehemu kupitia maandishi yangu nilikukwaza Kwa namna Moja ama nyingine, tafadhali naomba radhi boss wangu.

Nategemea kupitia hili pia sijakukwaza.

Peace πŸ₯‚
 
Ntalipiaje bila ww kunijuaπŸ˜„Yaan nawish harakati zote zinafanyike na Watu washiriki bila kuexpose hz ID Zetu zenye mrengo wa kataaa ndoa
Utapewa namba ya kulipia bana, bro nakutegemea……!!!
Kataa ndoa wa humu wote waongo, huko majumbani mwenu mna wake wanawapekelesha mnaosha had vyombo. Ila huku kelele tu za kujaza server za Max πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pata ruhusa Kwa Cantry mapema, asije kutuharibia shughuli Kwa kuja kunikata mitama Babu yako πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…