All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

Wazo zuri sana, ingawa changamoto ni mtawanyiko wa kijiografia, ila kwa wale ambao wako kwenye mji/mkoa/wilaya moja ni rahisi kulitimiza hili.

Ili kulifanya liende kwa haraka, ni bora kupendekeza kwa kutaja kiasi, mfano;- ili tuweze kukutana sehemu x, na pendekeza mchango wa 30,000/= n.k

Na ni vizuri sehemu x iwe nje ya mji yenye mandhari tulivu, na kuwepo na usafiri wa pamoja kosta n.k​
 
Back
Top Bottom