Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Lamomy jirani kumbe eji imeendaNgoja aweke vzr uso tumadoido aonekane binti wa 2000 kumbe mumama wa 81
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lamomy jirani kumbe eji imeendaNgoja aweke vzr uso tumadoido aonekane binti wa 2000 kumbe mumama wa 81
Jirani una agenda gani na mimi?? 😂😂😂😂Akifika nishtue
Maaaaaaaa...na😂adriz, mshtue Mongolian finest Maghayo asije enda Huku kavuta mibangi yake.
Hata nusu albinoo Half american, aoge siku hiyo😀
I mean no malice to nobody, oya mi niko bize na u jobless pro max 🤒.Niliona kuna kitu ulitaka kuniambia jana sijaona, leo nataka kukuuliza nashangaa uzi umefungwa 😂😂😂😂
Ila humu JF hekaheka haziji kuisha…
Simba dume(difender) zinasambazwa kote mnakabidhi vifaa vyote mnavyovitumia kuloginMuwe kwenye hiyo party harafu mara msikie sauti inasema kwa nguvu na kwa kuamrisha, MUWAZUNGUKE WOTEE ASITOKE ATA MMOJA🤣😂
Ntakwambia ukifika agrey 😅Jirani una agenda gani na mimi?? 😂😂😂😂
Dah kenge tulia🤣😀Maaaaaaaa...na😂
Bado🤣😁😁😁🤣Oya we mu italy vipi tena 🤔, safari za ndege usha zIchoka 😀
Utokee kwenye pati acha kujificha magetonDah kenge tulia🤣😀
81?? We komaah weeNgoja aweke vzr uso tumadoido aonekane binti wa 2000 kumbe mumama wa 81
Sema upo wapi nije kukuchukua😂😂😂😂 sipajui
Depal mdogo kaanza tena 🤔😂Bado🤣😁😁😁🤣
View attachment 2919990
🤣😁Wataliwa tunda kimasikhararikiboy asiruhusiwe, kutakuwa na mademu zetu huko
Mhh wee ni 9 bhana🤔😀.81?? We komaah wee
Mimi chuchu saa sita 😂😂😂😂
Jf hamna chuchu saa sita😄kama yupo ajitokeze humu wengi 25+ na mutoto mumoja ambayo baba yake imemukataaa81?? We komaah wee
Mimi chuchu saa sita 😂😂😂😂
Children kabisa, hata nikivunjika mfupa unajiunga bila P.O.P
Bora ninge kuwa gheto, Niko msituni na nyaniUtokee kwenye pati acha kujificha mageton