All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

😂😂😂😂 Tena mimi siku hiyo nitajitambulisha kabisaa ili msihangaike kupiga ana ana do
Hapo kwa chinga na demu wake kuna kitu unakitafuta sio buree 😂😂😂
Pacha sijui una shida gani na Mimi.
Hata mama ali niambia niwe makini na wewe, maana nishukuru kukosekana kwa pilipili..

Lasivyo unge nitafuna tumboni🤔🤒.
 
Pacha sijui una shida gani na Mimi.
Hata mama ali niambia niwe makini na wewe, maana nishukuru kukosekana kwa pilipili..

Lasivyo unge nitafuna tumboni🤔🤒.
Niliona kuna kitu ulitaka kuniambia jana sijaona, leo nataka kukuuliza nashangaa uzi umefungwa 😂😂😂😂
Ila humu JF hekaheka haziji kuisha…
Sema malizaneni tofauti zenu na cousin wangu Lovelovie ni mtu poa sana
 
Wazo zuri sana tupate kuona uhalisia wa wale tunaowadhania ndio kumbe sio.

Ikatokea kukawa na haja kila mtu aje na ID yake, kuna viumbe humu itabidi vijigawe. Maana humu kuna njemba zinachat kama mademu, kuna walimwengu wanamiliki ID mpaka 5 na zote zipo active. Kuna mpaka couples humu ambazo ni mtu mmoja. Jamaa anamiliki account ya demu na mwanaume halafu hizo account zina date.
Account Zina date

Hii ni punchline mkuu
 
Back
Top Bottom