All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

Wanabody hili ni wazo kwakuwa hili liliwai kufanyika miaka ya 2013-14 na liwa na mafanikio makubwa sana nakumbuka lilifanyika pale Kebby'es na nyingine ikafanyika Escape one.

Namimi nikiwa moja ya hile kamati! Na kwakuwa imepita muda mrefu basi tunaleta wazo kwenu ili anagalau tukutane tuojadili mambo ya maendeleo Kila mtu anabaki na User name yake labda ukiamua wewe kuisema ila siyo lazima kutaja user name yako kwa sababu za kiusalama!

Njia ambayo itakayotumiwa ni kuuza tikiketi kwa mtandao hata katika vituo ambavyo vitatajwa hapo baadae..Kwa sasa ni kutoa wazo muitikio wenu ndiyo utatoa ruhusa ya kufanyika hili jambo! Naleta kwenu wazo!
naunga mkono hoja 🐒

lakini pia ikiwa hoja hii itapita, basi nathibitisha ntakuwepo mwenyewe kabisaa physically kibinafsi bila kwere wala mbambamba yoyote 🐒

mambo ni 🔥
 
Usijali Mjukuu

Nitalipia Meza ya Watu 10 nikae na Wajukuu zangu, Babu yenu nahitaji sana Ulinzi wenu wakati huu 🤗
Oyoooooo!!! 😂😂😂
Ningeshangaa babu anaachaje kulipia meza ya VVIP huku wajukuu zake warembo tumepamba meza kwa white dresses tupo km white doves vile……

1.Lamomy
1.Missy Gf
2……
3……
4…….
5……
6……..
7…….
8……
9……
Wajukuu mjijaze wenyewe kabla idadi haijatosha 😂😂😂😂
 
Una hekaheka sana, kumbe ulistahili kipondo cha jana
Ukichukulia Kila kitu Serious sana hapa mtandaoni hautakawia kugombana na Kila mtu.

Maisha yenyewe yamebaki mafupi sana kuweza kutengeza kisasi Kwa Kila mtu as nina hakika hatufahamiani.

Kama kuna sehemu kupitia maandishi yangu nilikukwaza Kwa namna Moja ama nyingine, tafadhali naomba radhi boss wangu.

Nategemea kupitia hili pia sijakukwaza.

Peace 🥂
 
Profile picture na uhalisia ni mbingu na ardhi

200.gif
 
Ntalipiaje bila ww kunijua😄Yaan nawish harakati zote zinafanyike na Watu washiriki bila kuexpose hz ID Zetu zenye mrengo wa kataaa ndoa
Utapewa namba ya kulipia bana, bro nakutegemea……!!!
Kataa ndoa wa humu wote waongo, huko majumbani mwenu mna wake wanawapekelesha mnaosha had vyombo. Ila huku kelele tu za kujaza server za Max 😂😂😂😂
 
Oyoooooo!!! 😂😂😂
Ningeshangaa babu anaachaje kulipia meza ya VVIP huku wajukuu zake warembo tumepamba meza kwa white dresses tupo km white doves vile……

1.Lamomy
1………
2……
3……
4…….
5……
6……..
7…….
8……
9……
Wajukuu mjijaze wenyewe kabla idadi haijatosha 😂😂😂😂
Pata ruhusa Kwa Cantry mapema, asije kutuharibia shughuli Kwa kuja kunikata mitama Babu yako 😅
 
Back
Top Bottom