All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tena mimi siku hiyo nitajitambulisha kabisaa ili msihangaike kupiga ana ana do
Hapo kwa chinga na demu wake kuna kitu unakitafuta sio buree πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Pacha sijui una shida gani na Mimi.
Hata mama ali niambia niwe makini na wewe, maana nishukuru kukosekana kwa pilipili..

Lasivyo unge nitafuna tumboniπŸ€”πŸ€’.
 
Pacha sijui una shida gani na Mimi.
Hata mama ali niambia niwe makini na wewe, maana nishukuru kukosekana kwa pilipili..

Lasivyo unge nitafuna tumboniπŸ€”πŸ€’.
Niliona kuna kitu ulitaka kuniambia jana sijaona, leo nataka kukuuliza nashangaa uzi umefungwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila humu JF hekaheka haziji kuisha…
Sema malizaneni tofauti zenu na cousin wangu Lovelovie ni mtu poa sana
 
Account Zina date

Hii ni punchline mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…