Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Lamomy jirani kumbe eji imeendaNgoja aweke vzr uso tumadoido aonekane binti wa 2000 kumbe mumama wa 81
Jirani una agenda gani na mimi?? ππππAkifika nishtue
Maaaaaaaa...naπadriz, mshtue Mongolian finest Maghayo asije enda Huku kavuta mibangi yake.
Hata nusu albinoo Half american, aoge siku hiyoπ
I mean no malice to nobody, oya mi niko bize na u jobless pro max π€.Niliona kuna kitu ulitaka kuniambia jana sijaona, leo nataka kukuuliza nashangaa uzi umefungwa ππππ
Ila humu JF hekaheka haziji kuishaβ¦
Simba dume(difender) zinasambazwa kote mnakabidhi vifaa vyote mnavyovitumia kuloginMuwe kwenye hiyo party harafu mara msikie sauti inasema kwa nguvu na kwa kuamrisha, MUWAZUNGUKE WOTEE ASITOKE ATA MMOJAπ€£π
Ntakwambia ukifika agrey πJirani una agenda gani na mimi?? ππππ
Dah kenge tuliaπ€£πMaaaaaaaa...naπ
Badoπ€£ππππ€£Oya we mu italy vipi tena π€, safari za ndege usha zIchoka π
Utokee kwenye pati acha kujificha magetonDah kenge tuliaπ€£π
ππππππππNiliona kuna kitu ulitaka kuniambia jana sijaona, leo nataka kukuuliza nashangaa uzi umefungwa ππππ
Ila humu JF hekaheka haziji kuishaβ¦
Sema malizaneni tofauti zenu na cousin wangu Lovelovie ni mtu poa sana
81?? We komaah weeNgoja aweke vzr uso tumadoido aonekane binti wa 2000 kumbe mumama wa 81
Sema upo wapi nije kukuchukuaππππ sipajui
Depal mdogo kaanza tena π€πBadoπ€£ππππ€£
View attachment 2919990
π€£πWataliwa tunda kimasikhararikiboy asiruhusiwe, kutakuwa na mademu zetu huko
Mhh wee ni 9 bhanaπ€π.81?? We komaah wee
Mimi chuchu saa sita ππππ
Jf hamna chuchu saa sitaπkama yupo ajitokeze humu wengi 25+ na mutoto mumoja ambayo baba yake imemukataaa81?? We komaah wee
Mimi chuchu saa sita ππππ
Children kabisa, hata nikivunjika mfupa unajiunga bila P.O.P
Bora ninge kuwa gheto, Niko msituni na nyaniUtokee kwenye pati acha kujificha mageton