Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
HahahahahaNdio party ni pombe...asubuhi utahadisiwa tu ilivyoisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahaNdio party ni pombe...asubuhi utahadisiwa tu ilivyoisha
🤣🤣🤣Kuna mpaka couples humu ambazo ni mtu mmoja
Ununio ya Mabwepande. Au ya kipande gani🤓Sawa sawa Mkuu hizo ndio zenyewe ile ya Internet ime click lkn dah kipengele..karibu ununio huku upepo unakovuma
Hao sii asubuhi mchana wala jioni,full kupanda juu ya meza na fujo za kutosha kwa Road,kama wanabeba magunia ya mkaa vile🤓Kwanini mkuu?
Bi harusi unaniaibisha bwana🤣🤣🤣Mmh sintohudhuria sina pesa ya kujishaua nitqhadithiwa na Lamomy na Joannah Na Leejay49 mshamba_hachekwi hawa watanipa ubuyu hata nauli sina
Usihofu nitakulipia big ciccy🌹Mmh sintohudhuria sina pesa ya kujishaua nitqhadithiwa na Lamomy na Joannah Na Leejay49 mshamba_hachekwi hawa watanipa ubuyu hata nauli sina
Hiyo hela babe nipe nikafanye mengineUsihofu nitakulipia big ciccy🌹
Ona sasa😃😃... Halafu namba yako sina ujueHiyo hela babe nipe nikafanye mengine
NitakupaOna sasa😃😃... Halafu namba yako sina ujue
Hapo kwenye usafiri wa pamoja nimependa haiwezakani wengine tuje na daladala alafu wengine waje na magari yaoWazo zuri sana, ingawa changamoto ni mtawanyiko wa kijiografia, ila kwa wale ambao wako kwenye mji/mkoa/wilaya moja ni rahisi kulitimiza hili.
Ili kulifanya liende kwa haraka, ni bora kupendekeza kwa kutaja kiasi, mfano;- ili tuweze kukutana sehemu x, na pendekeza mchango wa 30,000/= n.k
Na ni vizuri sehemu x iwe nje ya mji yenye mandhari tulivu, na kuwepo na usafiri wa pamoja kosta n.k
Ufanye chap sasa kabla kasalary hakajaisha☺️☺️Nitakupa
Kwa hiyo ccy tutavaa sare si ndio
Bora umekuja kipenzi changu.Lovelovie mpenzi hiyo siku tukalale
😂😂😂😂😂Hapo kwenye usafiri wa pamoja nimependa haiwezakani wengine tuje na daladala alafu wengine waje na magari yao
Tuanze kusemana wewe nilijua una hela ukiwa Jf kumbe ndio hivi
Wazo zuri la usafiri wa pamoja👋