kifinga
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 5,249
- 9,539
Kama sio sehemu ya ada atapata cheti chake hata kama hakwenda kwenye graduation iyo iko waziMchango wa graduation ni lazima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama sio sehemu ya ada atapata cheti chake hata kama hakwenda kwenye graduation iyo iko waziMchango wa graduation ni lazima
Usipifanya graduation usidhani mwanao ndio hatafanya Kama wa kike Kuna vidume vitamfanyia au Kama wa kiume viwifi vya hiari vitamfanyia Sasa usuke au unyoeAaah wapi miaka ya elfu mbili na mbili ni zamani ? Tuliona wazazi walokuja. Ila mimi binafsi wala sikumind wa kwangu kutokuja. Hapa nakumbia hata UDSM mimi sikurudi kwenye graduation.
Hata wanangu,i thank God wanasoma shule ambayo hakuna mambo ya graduation.
Sherehe hazina mashiko.
Bei ya mahindi haitaingiliwa, nadhani kwa vile hii ni secta binafsi, sidhani kama serikali inapaswa kuingilia pia.
Waleten kayumba huku hakuna ma pesa mengiWanafunzi waliomaliza mitihani yao kidato cha nne Alliance Schools zaidi ya 200, wanatakiwa kuchanga 100,000/-TZS ili kushiriki mahafali ya kidato cha nne 2019. Iwapo kila mwanafunzi atatoa pesa hiyo ni zaidi ya 20,000,000/- Milioni Ishirini,
Mchango huo utahusisha mwanafunzi husika na wazazi wake wawili tu, yaani watu watatu (3).
Ili kuweza kuhusisha wadogo ama wakubwa wa mwanafuzi, yaani watoto wenziwe kwenye famila inabidi kila mtu anayezidi atoke 10,000/-TZS ili kuweza kuingia ndani ya ukumbi wa mahafali, kama huna ni kubaki nje na wanafamilia hawa washindwe kushudia mdogo ama mkubwa wao akitunukiwa cheti.
Yaani imekuwa kujipatia pesa kwa njia za udanganyifu maana laki moja kwa mahafali ambayo ni wajibu wa shule kwa wahitimu ni changamoto. Watu 3 wakati kiserikali familia ina watu 6. na ni ukweli hapa TZ kuna wajomba shangazi na watoto wao, mara zote kwenye sherehe kama hivi tunashirikishana, iweje bibi au babu kumuona mjukuu wake akihitimu form 4 alazimishwe kulipa TZS 10,000/-? inafahamika kula kwenye mahafali haiwezekani ndugu wote wa wahitimu wakala ama kwa ukweli kuwa itabidi chakula kiwe kingi sana ambacho lazima kitapoteza ubora wake, ama mtu tu hapendi kula nje ya chakula cha familia yake mwenyewe, kwa maana kwenye mahafali kula sio lazima, iweje ulazimishe mtu anayekuja kwenye mahafali ya ndugu yake atoe 10,000 eti lazima ale? unauhakika chakula unachoandaa kinakidhi mahitaji ya kila mshiriki? ya kiafya ya kijamii ya kidini etc?
Tunaomba Viongozi hasa Mkoa maana Rais naye anakazi nyingi na nyinyi ndio wasaidizi wake muingilike kati maana sio haki, kwa vile watoto ni haki yao kufanya na kuhudhuria mahafali isitumike kujipatia pesa kama kitapeli vile maana wazazi wangependa watoto wao washiriki. Ada wazazi walikwisha lipa zote, ni haki ya watoto kufanyiwa mahafali na shule. Hata kama kungekukwa na mchango basi 10,000TZS kwa mtoto. Suala la kula ni la watoto sio wazazi na familia yote maana nyumbani pia watakuwa wameandaa vyakula.
Wazazi na watoto wananyanyasika vile huwezi hitimu alliance ukafanyia mahafali Omega mfano tu.
Kama anaona lazima kuwanyonya wazazi na wahitimu basi agawe vyeti watoto warudi majumbani kwao kula na kunywa, lakni asinyime watoto na ndugu zao haki ya kushiriki mahafali kwa kisingizio cha kuwapa chakula kwa bei ya juu kupita maelezo, chakula ambacho sio lazima wote wanakihitaji na wengine hawataweza kukikutmia kwa sababu za kiafya
Asante kwa msaada wa wenu viongozi serikali-Mwanza
How?Kuna shule hazina graduation kabisa. Mkimaliza mitihani na kufunga shule ndo basi. Hakuna cha graduation wala nini.Usipifanya graduation usidhani mwanao ndio hatafanya Kama wa kike Kuna vidume vitamfanyia au Kama wa kiume viwifi vya hiari vitamfanyia Sasa usuke au unyoe
Atakapokwenda kuchukua cheti atakuta deni. Wakati huo yuko peke takeKama sio sehemu ya ada atapata cheti chake hata kama hakwenda kwenye graduation iyo iko wazi
Nyinyi ndo wale aina ya watu mkitongoza mademu mnajifanya mna pesa mnafanya kazi nzuli mnajifanya mnafanya kazi sehemu nzuli.hujaelewa, uhudhurie usihudhurie Laki unatoa ndio ilivyo; sio tu laki ni kubwa bali ni lazima. nadhani umeelewa. na kwa vile mahafali inafanyika wiki 2 baada ya mtihani watoto wengine walikwisha safari kwenda Rukwa, Mbeya Kuja Dar Tabora etc lakni ama warudi kwa gharama zao ama wasirudi kwa hofu ya gharama laki lazima atoe wakati wa kuchukua cheti. Umeleewa???
WATU MASIKINI WANA MATATIZO KWELII !!!!
HIYO SHULE NI YA WATOTO WA MATAJIRI SASA WEWE KINACHOKUUMA NI NINI KUCHANGISHWA 100,000
Kama sio sehemu ya ada atapata cheti chake hata kama hakwenda kwenye graduation iyo iko wazi
Kama mtoto hadaiwi ada na kamaliza pepa, hiyo graduu si lazima kama uwezo ni mdogo.
Tupeleke watoto Shule za hadhi yetu hatujui tunawaathiri vipi Kisaikolojia tunavyoacha kuchangia baadhi ya entertainment huku wenzao wakienda
Nakupa ushauri,pindi utapokuwa na familia yako au kama unayo tayari..uwe unashiriki mahafali na usijetumia nafasi yako ya kutokufanya sherehe kuwanyima jamaa au watoto wako haki ya kushereheka na kihitimu kuna furaha uliikosa au waliikosa ndugu na jamaa zako.Pia kuna taarifa wahudhuriaji huzipata na kujifunza bila kusahau Baraka ya kujumuika pamoja.Yaani mimi kusema ukweli nilijiuliza sana umuhimu wa wazazi kwenda kwenye graduation. Mimi O level,A level yaani hakuna ndugu yangu alokuja kwenye graduation. Na niliona poa tu. University ndo kabisa hata kwenye graduation sikwenda maana nilikuwa kazini tayari. Yaani mimi sherehe wala huwa sioni kabisa umuhimu wake.
KILA TAASISI INA UTARATIBU WAKE NA HIYO NI SHULE INA UTARATIBU WAKE NDO MAANA WAKAWEKA UTARATIBU WAO .........hoja ni utajiri ama umaskini au suala la graduation ambayo uwepo usiwepo unaamuriwa kutoa 100,000? juu ya gharama kuwa kubwa, ukiita umasikini wala sioni maumizi maana maskni aliwalipaje ada 4yrs ? angalia hoja sio kingine mkuu
Nimependa hapo uliposema RC alitazame hilo jambo,nikakumbuka pia kuna DC.
Kwa upande wangu nahisi ili ni swala ni la Afisa Elimu wa wilaya na Bodi ya shule ndio wahusika na wanapaswa kulisimamia kwa nguvu zote, kukiwa na walakini ndio wamtaarifu DC.
Kuhusu kiwango cha mchango so kikubwa sana ukitazama na thamani ya fedha kwa sasa,sema yapaswa kupunguzwa ili kuruhusu familia zenye vipato vya chini kwa kipindi hicho cha sherehe zipate kujumuika kama ulivyopenda aina ya kujumuika,kupungukiwa ni swala la kawaida na sio kitu cha kufanyia mzaha kama watu wasio na weledi wanavyodhihaki..wazo lako naliunga mkono.
KILA TAASISI INA UTARATIBU WAKE NA HIYO NI SHULE INA UTARATIBU WAKE NDO MAANA WAKAWEKA UTARATIBU WAO .........
SASA WEWE NI KAMA NANI UWAPANGIE WATU TARATIBU WALIZOJIWEKEA NDO MAANA HATA VYUONI KUNA UTARATIBU WAKE
UKITAKA KUSOMA VYUO VYENYE PESA ADA KUANZIA MILIONI MOJA NENDA IFM, CBE, ST.JOSEPH,TUMAINI .....
ILA UKITAKA VYUO ADA LAKI MOJA NENDA VETA
Tanzania wajinga wengi ndio maana hata huduma zetu za msingi tunanunuaHizi Tz kuna mdudu gani kichwani wakuuuu? mtu akilalamikia unjust expenditure isitafasiriwe eti hana hela, I can tell you wenye hela wote wako makini na matumizi kuliko maskini wengi wanavyofikiria .
LAKNI NIMESHANGAA NAONA POST NYINGI KAMA HUNA HELA, JIBU HILO NI SIMPLE KABISAA ASIYE NA HELA ATAKUWA ANADAIWA ADA NA HIVYO ANGEFUKUZWA KITAMBO HUKO FORM ONE OR TWO