Pre GE2025 Ally Hapi: Vyombo vya dola shughulikieni wanaotaka kuzuia uchaguzi

Pre GE2025 Ally Hapi: Vyombo vya dola shughulikieni wanaotaka kuzuia uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Watanzania jizuieni na adui ujinga.unawezaje kushiriki uchaguzi huku unajua wasimamizi wote ni makada wa CCM??haya maigizo tuokoe fedha tununue madawati kwa watoto na Mungu wa mbinguni atatubariki.kuliko kufanya maigizo ya uchaguzi.kuna watu wanatudhihirishia kuwa wao ni wehu kwa kukubali kuwa tz kuna uchaguzi.
 
Hivi ni kwanini viongozi wengi wa hawana uwezo wa kujibu hoja instead vita, ugomvi na nguvu tu? Huwezi kujibu hoja za hao kina Lissu hadi uanze kuwatisha watu kwa kutumia police? Nonsense
 
Tume huru ni takwa la kitaifa na ni msingi wa uchaguzi wenye uhuru . Shida ya kutoruhusu ndiyo inaangaliwa . Yamkini ccm inaangalia kuwa kila nchi iliyoweka tume huru upinzani waliibuka kidedea . Mfano Zambia hichilema( Mpinzani )64% na rungu ( chama tawala )33%
 
Back
Top Bottom