Pre GE2025 Ally Hapi: Vyombo vya dola shughulikieni wanaotaka kuzuia uchaguzi

Pre GE2025 Ally Hapi: Vyombo vya dola shughulikieni wanaotaka kuzuia uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wajomba this time watu wako serious sio enzi zakupeana pipi wale wadau wenu wako bench sasa kuna vyuma vya kazi vinamaanisha No reform No Election chama kinachodai kukubalika mnaona ugumu gani kuwa na Tume iliyo huru ? Nini mnaogopa namnakubalika kama mnavyosema?
 
Ninyi wahuni Mwaka 2025 hakuna uchafuzi, Tutafanya juu chini usifanyike.
Jimbi weee....ha ha ha
Watanzania wanaendelea kukiamini chama chao cha CCM....

Siku ile Lissu alipowaita ubungo ,ulitokea?!! Ha ha ha
 
Jimbi weee....ha ha ha
Watanzania wanaendelea kukiamini chama chao cha CCM....

Siku ile Lissu alipowaita ubungo ,ulitokea?!! Ha ha ha
Tutafanya juu chini usifanyike, huelewi kitu gani hapo?
 
Imeingiamo! Imegotamo! Na Bado!
...bado ni "myth" tu....

Hakuna mwenye kuweza kuzuia uchaguzi wa kikatiba...kwani nchi iko katika taharuki na machafuko?!!

Zelensky alitakiwa kufanya uchaguzi 2019....nchi yake iko Msambweni .... Tanzania si Ukraine....

Chadema msishiriki....watashiriki wengine.....
 
Up
Upinzani muwe mnajitafakari, wenzenu muda huu wanazindua miradi ya maji, mahospitali, wanakwenda kusikiliza shida Za watanzania, upinzani umekaa kiambazani unaota umeshajenga mashule, umeshajenga barabara na kura watashinda, what a shits dreams!
Kiingereza chenyewe hujui, maandishi yako tu yanaonyesha kichwani hamna kitu. Kwahiyo ulitaka upinzani pia wazindue miradi?
 
Kiingereza chenyewe hujui, maandishi yako tu yanaonyesha kichwani hamna kitu. Kwahiyo ulitaka upinzani pia wazindue miradi?
Atleast wazindue mashina ya chama chao, chama kimekufa hicho, na chama hujengwa kuanzia mashinani.
 
Big hand to Ally hapi, kusema tu ya kwamba uchaguzi hautafanyika, ni kosa kamilifu la jinai.
Unapinga mipango ya serekali kwa njia ambazo pengine huenda zikahusisha ugaidi/uvurugaji wa amani na usalama wa watu.
Hakuna anaepinga uchaguzi kufanyika. Kinachopingwa ni maigizo ya uchaguzi huku mabilioni ya pesa za mlipa kodi zikitumika na watu kuumizwa, kuuawa/kupotezwa na uharamia mwingine unaofanywa na vyombo vya dola ili kuhalalisha maigizo hayo. Kinachopiganiwa ni haki ya kikatiba ya raia kuchagua viongozi wao kupitia uchaguzi ulio wa haki, huru na wazi. Watu kama hapi, wakiungwa mkono wewe na wenzio, wanatetea uharamia unaofanywa na watawala kwa kuwa wananufaika nao. Waafika tulio wengi hatujitofautishi na viumbe wengine walio katika himaya ya wanyama (animal kingdom). Tunaangalia leo yetu, bila kujishughulisha na hatima ya vizazi vijavyo. Hatuna hekima ya kutambua ni kwa jinsi gani fikra na matendo yetu yataathiri maisha ya wajukuu na vitukuu vyetu. Kama ilivyo kwa ng’ombe, fisi, samaki, ndege na viumbe wengine, tukishiba sisi (na kwa kutumia instinct, watoto wetu), inatosha. Sana sana kinachofuata ni kujamiiana ili kuendelea kuridhisha matamanio ya mili yetu. Waafrika wengi, tuliosoma na ambao hatujasoma, hatujavuka ngazi ya wanyama wa mwituni (beasts), ndio maana kila uchwao ni vita vya kugombania maslahi/madaraka. Kinachofanywa na watawala wetu na cronies wao hakina tofauti na kinachofanyika kwingineko Africa na matokeo yake hayatofautiani.
 
Back
Top Bottom