Ally Hapi ati ndo think tank ya chama cha ccm, sasa yeye na mzee wasira nani ana afadhli kidogo ?
Ccm nawapa ushauri wa bure mtoeni Makongoro Nyerere kwenye ukuu wa mkoa mpeni nafasi ya juu ndani ya chama ikiwezekana nafasi ya Makala akae yeye , ili taifa lichangamke. Achaneni na vilaza ,mwaka huu no reforms no uchaguzi.
Kuna watu wapo na laana za Dunia ,uyu Ally Hapi alikua moja wa waimba mapambio kwa mwenda zake , kilichotokea mzee wa watu akatwaliwa , ametukana sana wazee wetu wa nchi ambao ni wastaafu alafu mnamrudisha chamani ,hivi ccm mnielewa lakini.
Leo anaanza kutaka kuingiza vyombo vyetu vya ulinzi katika mgogoro usio wahusu ,anafikili kila mwajiriwa katika vyombo vyetu vya ulinzi ni ccm au vyombo hivi ni tawi la ccm , na je yupo na huakika gani kwamba ichi wanasema chadema cha( no reforms no election ) wanakiunga mkono au wanakikataa .
Ally Hapi likitokea la kutokea atakua wa kwanza kanyaga vizimba vya ICC period