Wewe TAKATAKA unajua maana ya Serikali? Serikali inapaswa kuwa ya WATU wote, na sio GENGE la wahuni wachache tu wenye tamaa ya kusalia madarakani MILELE.You can't win govt wishes ever!, nasikitika vijana ndipo wanapopotezea muda wao, mola awape ufahamu, times is money!
Jeuri ya kusimama wenyewe hawana,wao kutegemea polisi tu😀😀😀😀😀😀Huyu huwa analewa madaraka mapema sana akipewa kacheo kadogo basi utamuona anatukana hadi Wastaafu.
Alishindwa hayati Lowassa....itakuwa mh.Tundu Lissu....Wa
Jeuri ya kusimama wenyewe hawana,wao kutegemea polisi tu😀😀😀😀😀😀
Ninyi wahuni Mwaka 2025 hakuna uchafuzi, Tutafanya juu chini usifanyike.Alishindwa hayati Lowassa....itakuwa mh.Tundu Lissu....
Acha uzembe wa kufikiri ,sawa ?!!
Jimbi weee....ha ha haNinyi wahuni Mwaka 2025 hakuna uchafuzi, Tutafanya juu chini usifanyike.
Tutafanya juu chini usifanyike, huelewi kitu gani hapo?Jimbi weee....ha ha ha
Watanzania wanaendelea kukiamini chama chao cha CCM....
Siku ile Lissu alipowaita ubungo ,ulitokea?!! Ha ha ha
Hamna uwezo huo...hamna nakuambia. ,umeelewa ?!!Tutafanya juu chini usifanyike, huelewi kitu gani hapo?
Imeingiamo! Imegotamo! Na Bado!VIDEO:
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi CCM Ally Hapi, ameviomba vyombo vya Dola kuwachukulia hatua watu wote wanaotaka kuharibu uchanguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.
Soma pia: Pre GE2025 Special Thread: Matukio ya Rafu za uchaguzi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3246408
...bado ni "myth" tu....Imeingiamo! Imegotamo! Na Bado!
....kunguni wa Lissu wanalalamika njaa ofisini kwa mwenyekiti wao....Sasa hivi Chawa hawalali tena usingizi!
Kiingereza chenyewe hujui, maandishi yako tu yanaonyesha kichwani hamna kitu. Kwahiyo ulitaka upinzani pia wazindue miradi?Up
Upinzani muwe mnajitafakari, wenzenu muda huu wanazindua miradi ya maji, mahospitali, wanakwenda kusikiliza shida Za watanzania, upinzani umekaa kiambazani unaota umeshajenga mashule, umeshajenga barabara na kura watashinda, what a shits dreams!
Sasa lowasa alikuwa na msimamo gani kwenye medani?Alishindwa hayati Lowassa....itakuwa mh.Tundu Lissu....
Acha uzembe wa kufikiri ,sawa ?!!
Medani awe nazo Lissu ?!!Sasa lowasa alikuwa na msimamo gani kwenye medani?
Upumbavu nao ni kipaji ndugu zangu.VIDEO:
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi CCM Ally Hapi, ameviomba vyombo vya Dola kuwachukulia hatua watu wote wanaotaka kuharibu uchanguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.
Soma pia: Pre GE2025 Special Thread: Matukio ya Rafu za uchaguzi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3246408
Atleast wazindue mashina ya chama chao, chama kimekufa hicho, na chama hujengwa kuanzia mashinani.Kiingereza chenyewe hujui, maandishi yako tu yanaonyesha kichwani hamna kitu. Kwahiyo ulitaka upinzani pia wazindue miradi?
Hakuna anaepinga uchaguzi kufanyika. Kinachopingwa ni maigizo ya uchaguzi huku mabilioni ya pesa za mlipa kodi zikitumika na watu kuumizwa, kuuawa/kupotezwa na uharamia mwingine unaofanywa na vyombo vya dola ili kuhalalisha maigizo hayo. Kinachopiganiwa ni haki ya kikatiba ya raia kuchagua viongozi wao kupitia uchaguzi ulio wa haki, huru na wazi. Watu kama hapi, wakiungwa mkono wewe na wenzio, wanatetea uharamia unaofanywa na watawala kwa kuwa wananufaika nao. Waafika tulio wengi hatujitofautishi na viumbe wengine walio katika himaya ya wanyama (animal kingdom). Tunaangalia leo yetu, bila kujishughulisha na hatima ya vizazi vijavyo. Hatuna hekima ya kutambua ni kwa jinsi gani fikra na matendo yetu yataathiri maisha ya wajukuu na vitukuu vyetu. Kama ilivyo kwa ng’ombe, fisi, samaki, ndege na viumbe wengine, tukishiba sisi (na kwa kutumia instinct, watoto wetu), inatosha. Sana sana kinachofuata ni kujamiiana ili kuendelea kuridhisha matamanio ya mili yetu. Waafrika wengi, tuliosoma na ambao hatujasoma, hatujavuka ngazi ya wanyama wa mwituni (beasts), ndio maana kila uchwao ni vita vya kugombania maslahi/madaraka. Kinachofanywa na watawala wetu na cronies wao hakina tofauti na kinachofanyika kwingineko Africa na matokeo yake hayatofautiani.Big hand to Ally hapi, kusema tu ya kwamba uchaguzi hautafanyika, ni kosa kamilifu la jinai.
Unapinga mipango ya serekali kwa njia ambazo pengine huenda zikahusisha ugaidi/uvurugaji wa amani na usalama wa watu.