Pre GE2025 Ally Hapi: Vyombo vya dola shughulikieni wanaotaka kuzuia uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Up
Upinzani muwe mnajitafakari, wenzenu muda huu wanazindua miradi ya maji, mahospitali, wanakwenda kusikiliza shida Za watanzania
Kusikiliza shida za wananchi zipi hizo, vyoo vya stendi na pedi za wasichana ??
 
Big hand to Ally hapi, kusema tu ya kwamba uchaguzi hautafanyika, ni kosa kamilifu la jinai.
Unapinga mipango ya serekali kwa njia ambazo pengine huenda zikahusisha ugaidi/uvurugaji wa amani na usalama wa watu.
Naona maiti zinaanza kupiga chafya
 
Nimegundua kwamba .... Kumbe
a) Njaa mbaya sana na, b) Kuna watu wanakosa usingizi kwasababu ya chadema, c) why?!
 

Attachments

  • IMG-20250224-WA0011.jpg
    25.8 KB · Views: 2
Uyu nae akili hamna arudi shambani akalime nyanya, vyombo vya dola na siasa wapi na wapi, yani ccm myakoroge wenyewe alafu mkimbilie vyombo vya dola .

Safari hii wajichanganye ICC ipo kwa kunyosha wapumbavu kama uyu Ally Hapi ,
 
Mna laana ninyi, eti mnawapenda!

Bendera zao tu mkiziona ni kama vile mapepo yameona bible, mnashirikiana green guard na polisi kuzing'oa na kuwapiga waliozitundika, leo hii mpende wao kufungua matawi?

Ninyi mlishapoteza kabisa legitimacy ya kulitaja neno upendo hata kwa bahati mbaya.
 
Ally Hapi ati ndo think tank ya chama cha ccm, sasa yeye na mzee wasira nani ana afadhli kidogo ?

Ccm nawapa ushauri wa bure mtoeni Makongoro Nyerere kwenye ukuu wa mkoa mpeni nafasi ya juu ndani ya chama ikiwezekana nafasi ya Makala akae yeye , ili taifa lichangamke. Achaneni na vilaza ,mwaka huu no reforms no uchaguzi.

Kuna watu wapo na laana za Dunia ,uyu Ally Hapi alikua moja wa waimba mapambio kwa mwenda zake , kilichotokea mzee wa watu akatwaliwa , ametukana sana wazee wetu wa nchi ambao ni wastaafu alafu mnamrudisha chamani ,hivi ccm mnielewa lakini.

Leo anaanza kutaka kuingiza vyombo vyetu vya ulinzi katika mgogoro usio wahusu ,anafikili kila mwajiriwa katika vyombo vyetu vya ulinzi ni ccm au vyombo hivi ni tawi la ccm , na je yupo na huakika gani kwamba ichi wanasema chadema cha( no reforms no election ) wanakiunga mkono au wanakikataa .

Ally Hapi likitokea la kutokea atakua wa kwanza kanyaga vizimba vya ICC period
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…