Ally Happy naye ashindwa kumjibu Lissu, apuyanga bila kujibu hoja

Ally Happy naye ashindwa kumjibu Lissu, apuyanga bila kujibu hoja

Kifupi Ally Happy hana jipya hoja zake hazina mantiki kabisa
 
AMEDANGANYA kuhusu alichosema Lissu, ili kusudi ajirahisishie kujibu hoja. Ilikuwa ni lazima achemka.

Lissu hakusema Mzanzibar asifanye maamuzi Bara.

Lissu amesema Mzanzibar kuziacha salama bandari na ardhi za Zanzibar huku anauza na kugawa bandari na ardhi za Bara ni ushahidi kwamba Tanganyika inadhulumiwa na Rais Mzanzibari asiye na uchungu na Tanganyika.

Na Muungano huu unabaka haki, rasilimali na maslahi ya Tanganyika.
 
Kama hata Prof.Kabufi,Dr.Mwakiyembe,mzee Sinde Warioba wako kimya,hoja za Lissu haziwezi kujibiwa kisiasa na Wana CCM.
 
Ruzuku hiyo hailingani na kura halisi walizopata CHADEMA kwahiyo awe mpole tu.
 
Majibu yanahitaji watu weledi sana wengi wao wanapiga porojo tu
Mwalimu wangu aliwahi kuniambia kuna maswali hayana majibu, ndo hayo ya Lissu. Ukikukuruka kujibu unajitangazia ujinga wako tu!!

Mi nilichoona zaidi ni suala la bunge moja kuwa la wao peke yao na jingine letu sote na wao wakiwemo kitu ambacho si sahihi, yaani kimsingi ilipaswa kuwe na mabunge matatu, mawili ya wawakilishi wa nchi mbili za muungano na bunge moja la muungano, sababu katika wakati hoja za kuhusu ishu binafsi za bara zikijadiliwa bungeni na wao wamo na wanajadili na labda kuvuruga mijadala kwa kuleta mawazo hasi kwa kuwa hawana maslahi na bara ila katika bunge la kuhusu ishu binafsi za visiwani wabara hawamo!!!hii si haki.

Huu ni ukweli mchungu hoja za Lissu hazijibiki hata uwe umesoma Harvard!! Haki haipo hata ulazimishe kwa mtutu!!
 
Huyu naye IQ ndogo sana, badala ya kujibu hoja za msingi za umiliki ardhi zanzibar kwa wabara au mgawanyo wa majimbo ulivyo unfair bara na visiwani anakimbilia kuongelea watu kuvaa ngozi!! irrelevant reply.
Kumiliki ardhi Zanzibar ni kumaliza kazi ya uvamizi wa Nyerere. Ingalikuwa kuna muungano Nyerere asingalileta jeshi na kuuwa zaidi ya watu elfu kumi na kila uchaguzi kuuwa watu katika jitihada Za kuweka vibaraka wake
 
Mwalimu wangu aliwahi kuniambia kuna maswali hayana majibu, ndo hayo ya Lissu. Ukikuruka kujibu unajitangazia ujinga wako tu!!

Mi nilichoona zaidi ni suala la bunge moja kuwa la wao peke yao na jingine letu sote na wao wakiwemo kitu ambacho si sahihi, yaani kimsingi ilipaswa kuwe na mabunge matatu, mawili ya wawakilishi wa nchi mbili za muungano na bunge moja la muungano, sababu katika wakati hoja za kuhusu ishu binafsi za bara zikijadiliwa bungeni na wao wamo na wanajadili na labda kuvuruga mijadala kwa kuleta mawazo hasi kwa kuwa hawana maslahi na bara ila katika bunge la kuhusu ishu binafsi za visiwani wabara hawamo!!!hii si haki.

Huu ni ukweli mchungu hoja za Lissu hazijibiki hata uwe umesoma Harvard!! Haki haipo hata ulazimishe kwa mtutu!!
Hoja zinajibika sana tu isipokuwa kuzijibu ukubali kujilipua kwani Hakuna Muungano ni uvamizi na Nyerere ndiye kinara
 
Kumiliki ardhi Zanzibar ni kumaliza kazi ya uvamizi wa Nyerere. Ingalikuwa kuna muungano Nyerere asingalileta jeshi na kuuwa zaidi ya watu elfu kumi na kila uchaguzi kuuwa watu katika jitihada Za kuweka vibaraka wake

..Dr.Hussein Mwinyi alikuwa Waziri wa Ulinzi kwa muda mrefu hivyo anahusika na majeshi yaliyokuwa yakipelekwa Zanzibar kila kulipokuwa na uchaguzi.

..Kwa kifupi hujuma yoyote dhidi ya Wazanzibari ina baraka za baadhi ya Wazanzibar. Vivyo hivyo kwa upande wa Tanganyika. Chawa wote wa Samia ni Watanganyika.
 
Mungu aumbe upya watu katika Tanganyika/Tanzania bila hivyo akina Hapi watazaliwa wengi. Sasa huyu anafanya nini duniani
 
Hoja zinajibika sana tu isipokuwa kuzijibu ukubali kujilipua kwani Hakuna Muungano ni uvamizi na Nyerere ndiye kinara
Hebu nawewe zijibu hoja tukusikie labda utamshinda yule jamaa wa bush noma sana ambae bosi wake ni DJ mlevi form four failure aliepigwa vibaya na mchepuko Joyce kule Dom na kusingizia majambawazi!!

Muungano upo kihalali hakuna uvamizi wowote na hauvunjiki, dawa ni kutatua tu kasoro zake mf bungeni Dodoma inapaswa hoja zinazohusu bara zinapojadiliwa zisiwahusishe wabunge toka zenji , watoke nje, hilo ni jambo la lazima ili kuleta usawa japo nina hakika yule bibi mbio hawezi kuruhusu hilo kutokea!!

Nina uhakika wewe hujawahi kuishi zenji, nenda ukajionee mwenyewe jinsi utakavyobaguliwa hata chumba cha kupanga tu hutopata bila kutumia rafiki mzenji na ukihamia wenyeji wananuna kodi ikiisha wanakutimua!! Utahama sana nyumba!!
 
Kumiliki ardhi Zanzibar ni kumaliza kazi ya uvamizi wa Nyerere. Ingalikuwa kuna muungano Nyerere asingalileta jeshi na kuuwa zaidi ya watu elfu kumi na kila uchaguzi kuuwa watu katika jitihada Za kuweka vibaraka wake
Uvamizi gani wakati hadi Rais wa bara ni mzanzibari, mpewe nini tena? In fact mpaka Bagamoyo kuna ardhi inamilikiwa na SMZ ila not vice versa same to wapemba wamejazana bara huku wananunua mashamba, ardhi na kumiliki biashara ila sisi kule ni kama wageni tu haturuhusiwi kuwa na ownership ya land!! Ndio muungano gani huu?

Nasema hivi, Tanganyika lazima irudi kwanza ndio tujadili muungano its better serikali 1 au 3 sio huu ujinga wa serikali mbili ambayo upande mmoja unafaidika hauna maana.
 
Raisi huyo mlimweka wenyewe, Nani kamchagua?Si Katiba yenu mliyoitunga na nguvu Za dola Za Magufuli ndio zilizomfanya awepo hapo ?
Mbona mlishindwa kumwachia Maalim kuwa Rais miaka yote na jeshi lenu bado limejaa huku ZNZ kila mtaa pamoja na usalama wa Taifa waliomwagwa mpaka vyooni
 
Hoja za Tundu Lisu ni mwiba mkali kwa vilaza na vihiyo kutoka Lumumba
 
View: https://youtu.be/86vSal-Mwkc?si=QMUDUEam0cbA4C44

My Take
Tuhitimishe au tuendelee kuwasubiri wengine?

Duuh, ama kweli huko CCM kumbe kuna wajinga watupu..

Ally Hapi ni heri ungenyamaza kuliko kutoa ujinga wako hadharani..

Everything is irrelevant..

Everything said is off points ya hoja za Tundu Lissu na ubovu wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar..

Na huyu m - CCM hata hajui kuwa hakuna nchi ya Tanzania Bara iliyoungana na Zanzibar mwaka 1964..

CCM wameishiwa kiasi cha kuanza kupiga propaganda za kizamani, za kitoto na zilizojaa ujinga mtupu..
 
Back
Top Bottom