Ally Kamwe bado ana utoto mwingi anaigharimu timu

Nafasi yake inahitaji mtu makini mtu serious,Haji Manara hafai ila Ally Kamwe ndio hafai kabisaa

Kuna vitu hatakiwi kuongea ila ndio anavishikia bango,anavyotakiwakuongea ndio haviongei.

Anatujaza upepo mashabiki wa Yanga tofautina uhalisia.
Uhalisia ni kuwa Yanga hakuwa na timu ya kushindana kwenye hii michuano.

Je, Ali Kamwe alitakiwa kwa nafasi yake awaeleze ilo wana Yanga?

Hapana yeye ni propagandist wa timu sio mchambuzi.
 
Nafasi yake inahitaji mtu makini mtu serious,Haji Manara hafai ila Ally Kamwe ndio hafai kabisaa
Kuna vitu hatakiwi kuongea ila ndio anavishikia bango,anavyotakiwakuongea ndio haviongei.
Anatujaza upepo mashabiki wa Yanga tofautina uhalisia.
1737217222294.png
 
Kilio kikuu
 
Mashabiki wa Young Africans tunafurahi pamoja,tunahuzunika pamoja,binafsi naimani tutarudi tukiwa imara zaidi...Daima Mbele Nyuma Mwiko💚💛💪
 
Nafasi yake inahitaji mtu makini mtu serious,Haji Manara hafai ila Ally Kamwe ndio hafai kabisaa

Kuna vitu hatakiwi kuongea ila ndio anavishikia bango,anavyotakiwakuongea ndio haviongei.

Anatujaza upepo mashabiki wa Yanga tofautina uhalisia.
Wew jitu zima unadanganyajwe na kile kitoto hakina hata nyama.
 
Nafasi yake inahitaji mtu makini mtu serious,Haji Manara hafai ila Ally Kamwe ndio hafai kabisaa

Kuna vitu hatakiwi kuongea ila ndio anavishikia bango,anavyotakiwakuongea ndio haviongei.

Anatujaza upepo mashabiki wa Yanga tofautina uhalisia.

Unamuonea kijana, maana yeye haingii uwanjani kucheza.
 
Kuna familia ziko serias lazima uweumekomaa kuwa msemaji wao
Na uwe umesomasoma angalau level za thesis kukusaidia uwe na uelewa mpana wa mambo including do's and don'ts sio kuropoka ropoka ujinga bila hata aibu.
 
Mbumbumbu uyo Ally kamwe ndio saiz yenu na ana wanyoosha kisawa sawa.
Kwanza Ni mmoja wa wachambuzi Bora vijana katika Nchi, pili Ana Leseni ya CAF Daraja C, Tatu anajua kusukuma Ajenda kulingana na wakati.
NB: Yeye ni muhamsishaji na si mchezaji. Hakuna kosa lolote la mhamasishaji linalo husiana na mechi inayo chezwa uwanjani.
Punguzeni u mbumbumbu.
 
Nafasi yake inahitaji mtu makini mtu serious,Haji Manara hafai ila Ally Kamwe ndio hafai kabisaa

Kuna vitu hatakiwi kuongea ila ndio anavishikia bango,anavyotakiwakuongea ndio haviongei.

Anatujaza upepo mashabiki wa Yanga tofautina uhalisia.
Kama mngefuzu ungeongea huu utopolo?
 
Nafasi yake inahitaji mtu makini mtu serious,Haji Manara hafai ila Ally Kamwe ndio hafai kabisaa

Kuna vitu hatakiwi kuongea ila ndio anavishikia bango,anavyotakiwakuongea ndio haviongei.

Anatujaza upepo mashabiki wa Yanga tofautina uhalisia.
Umejazwa upepo wapi?Achia twende mkanye upepo ukizidi.
 
Back
Top Bottom