Aliyeleta hii mada gongowazi mwenzako.Vipi umeguswa ukaachia?.Leseni C ya CAF inazuia kuropoka?Mbumbumbu uyo Ally kamwe ndio saiz yenu na ana wanyoosha kisawa sawa.
Kwanza Ni mmoja wa wachambuzi Bora vijana katika Nchi, pili Ana Leseni ya CAF Daraja C, Tatu anajua kusukuma Ajenda kulingana na wakati.
NB: Yeye ni muhamsishaji na si mchezaji. Hakuna kosa lolote la mhamasishaji linalo husiana na mechi inayo chezwa uwanjani.
Punguzeni u mbumbumbu.
Gusa achia ukanye.