Ally Kamwe msemaji wa Yanga afungwe break, Haya sasa Mzee wa watu kakujibu kiutu uzima

Mgunda kaongoe maneno mazito sana. Kwani Ali Kamwe alianza vipi hadi kufikia kwa Mgunda? Mbona mechi ni Yanga vs USM Alger na bora hata angekuwa kamtupia madongo Ahmed Ally tungesema labda karudisha madongo. Sasa huyu baba wa watu kamuanzia nini?
Kwanza aina ya mashabiki walioitikia "andaaaaziii" mbona humu wapo wengi mzee?

Ngoja nianze kukutajia hapa hapa
 
Mgunda amemsamehe na hajaonesha kinyongo.

Ila usifanye makosa kwakujua msahama upo
 
hatuendi hivyo ili kuzuia uzushi na uongo ndio maana principle ni "who alleges must prove"
Basi aende Muhimbili akapimwe kwenye haja kubwa kama alivyopimwa Noel yule designer shoga wa Diamond
 
Kwa navyozijua hizi Club, hilo sidhani kama litawezekana.

Zina Ego ya kujiona wao ndio the best hususani pale ambapo muathirika hana nguvu yeyote serikalini
 
Haya sasa kakujibu kiutu uzima kama baba. Kazi kwako.
Mimi pia nachagua ANDAZI tena ANDAZI KUBWA lenye UBINGWA wa NGAO YA HISANI, NBC, AFC & CAFCC ANDAZI limechukua makombe YOTE kweli NAKUPENDA ANDAZI
 
Mimi najiuliza dogo alikuwa anatafuta nini? Mgunda ameingiaje?
Akimaanisha Kati ya Simba na ANDAZI unachagua nini Ila aliuliza indirectly kwenye Simba akaweka Mgunda msijifanye hamuelewa na hamuoni acheni kabana ushuzi mkajifanya hamjui
 
Ametenda lisilo jema hakika, hata Mimi shabiki wa Yanga sijafurahi kabisa. Kudhihaki watu sio Jambo jema kabisa. Lazima tujivunie makocha wazawa Kama Mgunda, wameonesha uwezo mkubwa. Ali Njoo uombe radhi.
 
Ally Kamwe anafanya kazi nzuri sana lazima tumpe pongezi yake katika hilo

Ni tofauti na watangulizi wake, na hii nalizungumzia katika nyanja ya habari hakuna progress kubwa iliyowahi kufanywa na Afisa Habari yeyote kwa kuifikisha Yanga hapa ilipo kumzidi Ally Kamwe

Ila kuna vitu vingi naona kama vya kitoto anakuwa anavifanya tena kuviweka rasmi kama ni agizo la Club.

Mfano hilo la kuicheka Simba sio tu kama halikupokelewa vizuri na Simba bali hata mashabiki wenyewe wa Yanga (watu wazima) walio wengi waliliona ni jambo la kitoto.

Na sikuwahi kufatilia kama hilo tamasha lilifanyika kweli au ilikuwa ni kauli tu, au pengine Club iliingilia kati kuweka pingamizi.

Lile tukio la kula ugali na sukari nalo halikuwa na picha nzuri kwa hadhi ya cheo chake.
 
Ametenda lisilo jema hakika, hata Mimi shabiki wa Yanga sijafurahi kabisa. Kudhihaki watu sio Jambo jema kabisa. Lazima tujivunie makocha wazawa Kama Mgunda, wameonesha uwezo mkubwa. Ali Njoo uombe radhi.
Sema hujamwelewa Ally Kamwe ndio maana Mimi ni shabiki wa Yanga Ila pia ni Shabiki wa Ally Kamwe jamaa hakumaanisha mlivyochukulia nyinyi vichwa vidogo yeye kawaambia Mgunda akimaanisha Simba Ila kafunga semi kwani mgunda anafundisha team gani na hio team imeambulia Nini msimu huu ukipewa andazi na ukipewa Simba unachagua nini ? ANDAZI
 
Nyie ndio fans mlio shout "andaaaaaaaziiiii"
 
Mfano hilo la kuicheka Simba sio tu kama halikupokelewa vizuri na Simba bali hata mashabiki wenyewe (watu wazima) walio wengi waliliona ni jambo la kitoto.
Sio kucheka Simba na Yanga ni WATANI WA JADI acha kujifanya hujui hawajaanza leo kutaniana utani upo TU hata kwenye tamaduni zetu Mdigo anamtania Mmakonde? maisha yanasonga
 
Yanga ikifika hapo huwa siwaelewi, mnashindwa kupata msemaji mstaarabu, mnakuja kuokota okota vitoto havina adabu hata kwa wakubwa wao.

Hebu katoeni hako ka chikondina kama kanakula cement.
Iwe funzo na wengine kuwa na adabu. Kuna namna ya kuongea utani, si kudhalilisha namna hiyo.
Mimi sijawahi muelewa huyo dogo, ana maneno kama kameza CD.
 
Wewe ni Simba lialia ? Kati ya Andazi na ............. unachagua nini ? Andazi ? Sijasikia umesema Andazi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…