Ally Kamwe msemaji wa Yanga afungwe break, Haya sasa Mzee wa watu kakujibu kiutu uzima

Huyu dogo alikuwa mtu makini sana but toka ameingia utopolo hakika amekuwa mmoja wa wapumbavu kabsa
 
kama anaongea hivyo hasa hapo kwenye usimamizi wa faisal akimaanisha mgunda amehusika kwa namna moja ama nyingine kumrubuni aende simba, naweza kuchagua andazi kweli. hata hivyo, mgunda hatakiwi kumind vitu vidogo hivi vya kwenye mpira, ama la asijihusishe kabisa na mpira. utani kati ya simba na yanga ni kawaida. kama asingekuwepo kwenye simba/mpira hakika dogo njiti asingekuwa na uwezo hata wa kumtaja jina tu.
 
Wacha kuweka tafsiri yako ya KIPUMBAVU. Mgunda ni Coach wa Simba na Simba ni club ya mpira moja kati timu kubwa Afrika. Angesema Chagua kati ya andazi na Simba tusingekasirika
 
Yaani utukane hadharani uombe msamaha kwenye page ya Instagram hio hapana hapana haikubaliki hata kidogo, ni never never.
 
Waliohudhuria hili tamasha njooni mtujuze lilifanyikia wapi maana nilisubiri mtandaoni sikuona kitu
 
Amejibu majibu ya kishirikina!
 
Ila hiyo waweza kuwa uchungu kupoteza kotekote,makombe 0.kwa timu.Wanao Mponda makombe kama yote🤸🤸🤸🤸
 
Ila hiyo waweza kuwa uchungu kupoteza kotekote,makombe 0.kwa timu.Wanao Mponda makombe kama yote🤸🤸🤸🤸
Hilo ni wazi lako ila sis wat wazima huo ni otovu wa nidhamu. Vipi baba yako angelinganishwa na andazi ungejiskiaj
 
Kuna yule Zeruzeru(ndivyo wanaitwa kwa Kiswahili sanifu) naye anapenda sana kuwaita watu Kuku sasa na yeye siku wakimuita majina ya kejeli asije juu tu.
 
yule dogo bado yupo ktk "foolish age" au teenage....hana adabu, ndio shida yetu sisi vijana...pale tunapoaminiwa kusimamia taasisi kubwa huwa tunaweweseka maana hatutarajii kuwa sehemu ya uongozi ktk taasisi kubwa...ulimbukeni na ushamba unatupeleka puta kiasi kwamba tunasahau kuwa na heshima na adabu kwa wakubwa zetu...... Yanga wanaumia ila wanajikaza sana kwa hili, dogo anavuruga sana ..anahama mipaka, ataharibu michezo huyu
 
Namuombea kwa Mungu awe na mwisho mzuri, mimi nimeshuhudia watu wengi wakifanya kazi Yanga na Simba na sasa wapo nje ya mfumo.

Hi kauli ni kubwa sana ukikaa ukiitafakari kwa makini
 
Wacha kuweka tafsiri yako ya KIPUMBAVU. Mgunda ni Coach wa Simba na Simba ni club ya mpira moja kati timu kubwa Afrika. Angesema Chagua kati ya andazi na Simba tusingekasirika
Kocha wa Simba kwa Simba na Mgunda si wapo club moja unamtenganisha vipi Mgunda na Simba ? Ally Kamwe amefanya utani wa jadi sio kashfa sio tusi hio Kanuni namba 46 ya TFF haina mashiko mpira utani uto makolo madunduka fc mihogo fc ni utani haya maandazi vipi hayashibishi ukipewa andazi unachukua huchukui ?
 
Namuombea kwa Mungu awe na mwisho mzuri, mimi nimeshuhudia watu wengi wakifanya kazi Yanga na Simba na sasa wapo nje ya mfumo.

Hi kauli ni kubwa sana ukikaa ukiitafakari kwa makini
Kawaida tu walisema wakasema watasema kesho Yanga inashinda kwa kishindo Mgunda atulie kwanza tushinde tuchukue ubingwa ndio aanze kuongea, huu ni utani tu eeh kutaniana ni jadi yetu hata tukiwa nyumba moja tunashabikia timu tofauti tunataniana kawaida tu sio suala baya Ila watu wanakuza Mambo kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…