Ally Kamwe msemaji wa Yanga afungwe break, Haya sasa Mzee wa watu kakujibu kiutu uzima

Tatizo la Yanga na Simba ndio hilo.....ujinga ni mwingi sana Kwenye hizi Timu hao maafisa habari hupoteza Busara linapofikia swala la kuzisemea hizi Timu,nashangaa sana unakuta tukio la Yanga ataongelewa Simba au tukio la Simba lazima Yanga iongelewe na kutupiwa vijembe na maneno ya Shombo kama hili la kumtukana Kocha mstaarabu Juma Mgunda bila kosa lolote,Simba na Yanga badilikeni muache uswahili na uzamani utani wenu usifikie kuvunjiana heshma ni aibu kwa Taifa linalotaka kujitangaza Kisoka afrika na Duniani.

Ally Kamwe ni moja ya wachambuzi vijana niliyokuwa nawakubali sana hasa kwenye yale mambo yake 10 ya soka...ola kwa sasa kishajipotezea heshma aliyokuwa nayo kwa mambo ya hovyo kama haya anayoyafanya.
 
Ndiyo maana tunasema kijana hajawiva kuwa msemaji. Ni akili ya kichoko tu
 
Kukomesha huu ushenzi kanuni ziangaliwe na hatua zichukuliwe.

Haitoshi mpumbavu mmoja kukuchafua halafu anajitokeza na kuomba msamaha.
Alichokipandikiza kwa wapumbavu wwenzake lazima watakiendeleza mitandaoni.

Anastahili kufungiwa kama alivyofungiwa manara
 
Acha kubalance mambo,sijawahi kumsikia Ahmed Ally akimtaja kiongozi yeyote wa yanga kwa tusi.
 
Ni kweli mmeajiri mashoga wawili?
 
Kakosea
Ameomba radhi
Yameisha
Ni utani wa jadi tu mtu hachaguliwi Cha kutaniwa Wala sio tusi
Yanga na Simba Ni watani wa jadi
Utani hauchagui mtu, jinsia, Wala Rika
Au nyie Makolo mseme hadharani Kama hamtaki utani
Young Africans
Bingwa cafcc
Upumbavu huu.Yeye ni kiongozi hapaswi kuleta matusi kwa watu alete utani kwa timu.
Angesema kolo na andazi hakuna mtu angemlaumu.
 
Ni dhambi kusema na kuzusha kitu ambacho huna uhakika nacho, embu fikiria wewe au mtoto wako afanyiwe uzushi kama huu hali ya kuwa si kweli, tumuogope mungu jamani ,hii mitandao isitutoe utu wetu
Si mmesema ni utani wa jadi?
Mbona kama huu utani unauma?
 
Kaa chini


Hujui kitu
 
Ni dhambi kusema na kuzusha kitu ambacho huna uhakika nacho, embu fikiria wewe au mtoto wako afanyiwe uzushi kama huu hali ya kuwa si kweli, tumuogope mungu jamani ,hii mitandao isitutoe utu wetu
na kama hujui 93% ya utopolo wana vinasaba vya kuchakatuliwa


Ni utani tu huo usiumie
 
Mkuu kumbe na wewe umesikia kuwa wanaliwa na GSM? Hata mimi nimeambiwa mishahara yao Ali Kamwe na mwenzie wanalipwa siyo kwa use maji wa Yanga bali kwa kuliwa makalio nantajiri
Una ujinga mwingi nenda kaliwe na wewe sasa
 
Upumbavu huu.Yeye ni kiongozi hapaswi kuleta matusi kwa watu alete utani kwa timu.
Angesema kolo na andazi hakuna mtu angemlaumu.
We una muwekea mipaka mtani
Utani hauna mipaka
Watu wanakutania Hadi msibani
Umefiwa na mzazi au mke mtu anakuletea utani na unatulia
Ni utani tu Mgunda sio andazi Ni Mambo ya utani
Utani wa jadi
 

Mkuu 0-10, Amekosea Ally kamwe. usitete tabia isiokuwa ya kiungwana Ukielekeza utani Simba sc ni tofauti kabisa na na kutaja jina la Mtu moja kwa moja.
Mfano. ule wimbo wa CCM na andazi, badala ya andazi angeweka jina la
kiranja Mkuu. ingetokea nini Mkuu 0-10,
 
Wazee wetu waliposema tusiwape vyeo vikubwa watoto wadogo hawakukosea hata kidogo

Vetting ya yanga kuhusu wasemaji wao iongeze umakini

Kijana Hana break Wala adabu hata kidogo kamdhalilisha mzee mgunda ambaye kiumri n sawa na baba yake

Baba yake angetukanwa hvyo yeye angefurahi?

Na sijui kwanini huu upuuz wa kuwasema watu katika mpira umeanza lini?

ALLY KAMWE NI SIKIO LA KUFA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…