GIRITA
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 4,432
- 5,864
Tatizo la Yanga na Simba ndio hilo.....ujinga ni mwingi sana Kwenye hizi Timu hao maafisa habari hupoteza Busara linapofikia swala la kuzisemea hizi Timu,nashangaa sana unakuta tukio la Yanga ataongelewa Simba au tukio la Simba lazima Yanga iongelewe na kutupiwa vijembe na maneno ya Shombo kama hili la kumtukana Kocha mstaarabu Juma Mgunda bila kosa lolote,Simba na Yanga badilikeni muache uswahili na uzamani utani wenu usifikie kuvunjiana heshma ni aibu kwa Taifa linalotaka kujitangaza Kisoka afrika na Duniani.
Ally Kamwe ni moja ya wachambuzi vijana niliyokuwa nawakubali sana hasa kwenye yale mambo yake 10 ya soka...ola kwa sasa kishajipotezea heshma aliyokuwa nayo kwa mambo ya hovyo kama haya anayoyafanya.