Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi manara sijawahi kumkubali aisee!Dah!
Hii habari sijaifurahia!
Hajimanara sijawahi kumkubali hafai hana nidhamu matusi na kejeli zimemjaa
Alikamwe ni mtu na nusu anaweza kutuchangamsha pia ni m'bunifu
Young kunashida sana,,inakuwajeHii Taarifa ina ukweli gani?
Hiyo hata ningekuwa mimi, Mtu kaita Waganga wote kutoka Rufiji waje wamzindike halafu uendelee kushangaa, labda kama hujitaki
===
Ally Shaban Kamwe baada ya kuhudumu kwa misimu miwili kama Meneja wa idara ya Habari na Mawasiliano Yanga SC ,leo ameandika barua ya kujiuzulu nafasi hiyo baada ya kuitumikia kwa mafanikio.
Kamwe alianza kazi Yanga September 25,2022 , leo July 29 amejiuzulu taarifa rasmi itatolewa muda wowote kuanzia sasa
Shaffi Dauda
=====
Ally Kamwe amepost haya kwenye ukurasa wake wa Insta akiwaaga mashabiki wa Yanga;
A Good dancer must know when to Leave a Stage.
ππ‘π’πππ’ππ§πππ ππ§π’ππ ππππ‘ππππ€π ππ’ππ’π ππ π€ππππ‘π ππππ π€π ππ’πππππa π½π’ππ€ππππ..
Maneno ya hekima kutoka katika kinywa cha Patrick Loch Otieno Lumumba;
Na ni Hekima hii, inanituma mbele yenu Wananchi, Mashabiki na Wanachama wa Klabu yetu pendwa, kuwaambia kuwa, Ni wakati sasa wa kijana wenu kuondoka Jukwaani.
Nimesimama Miaka miwili juu ya hili Jukwaa, Tumeimba, Tumecheza, Tumefurahi na Alhamdulillah Tumeshinda pamoja kila pambano Lililokuja mbele yetu.
Muda wangu umemalizika na Asanteni sana.
Tutaonana tena Wakati mwingine nikiwa na kitu kizuri cha kuwaonyesha Juu ya Jukwaa.
DaimaMbeleNyumaMwiko.
Mwenyekiti wa Wasemaji
Ally Kamwe.
Young kunashida sana,,inakuwaje musemaji anapewa mkataba na GSm kutumikia young badala ya CEO kumpa mkataba husikaHii Taarifa ina ukweli gani?
Hiyo hata ningekuwa mimi, Mtu kaita Waganga wote kutoka Rufiji waje wamzindike halafu uendelee kushangaa, labda kama hujitaki
===
Ally Shaban Kamwe baada ya kuhudumu kwa misimu miwili kama Meneja wa idara ya Habari na Mawasiliano Yanga SC ,leo ameandika barua ya kujiuzulu nafasi hiyo baada ya kuitumikia kwa mafanikio.
Kamwe alianza kazi Yanga September 25,2022 , leo July 29 amejiuzulu taarifa rasmi itatolewa muda wowote kuanzia sasa
Shaffi Dauda
=====
Ally Kamwe amepost haya kwenye ukurasa wake wa Insta akiwaaga mashabiki wa Yanga;
A Good dancer must know when to Leave a Stage.
ππ‘π’πππ’ππ§πππ ππ§π’ππ ππππ‘ππππ€π ππ’ππ’π ππ π€ππππ‘π ππππ π€π ππ’πππππa π½π’ππ€ππππ..
Maneno ya hekima kutoka katika kinywa cha Patrick Loch Otieno Lumumba;
Na ni Hekima hii, inanituma mbele yenu Wananchi, Mashabiki na Wanachama wa Klabu yetu pendwa, kuwaambia kuwa, Ni wakati sasa wa kijana wenu kuondoka Jukwaani.
Nimesimama Miaka miwili juu ya hili Jukwaa, Tumeimba, Tumecheza, Tumefurahi na Alhamdulillah Tumeshinda pamoja kila pambano Lililokuja mbele yetu.
Muda wangu umemalizika na Asanteni sana.
Tutaonana tena Wakati mwingine nikiwa na kitu kizuri cha kuwaonyesha Juu ya Jukwaa.
DaimaMbeleNyumaMwiko.
Mwenyekiti wa Wasemaji
Ally Kamwe.
Hadi Mimi mkuuHiyo red nimestuka nikajua Makonda
Mambo kama haya mzee Magoma alikuwa anahoji akaonekana mjinga.Young kunashida sana,,inakuwaje musemaji anapewa mkataba na GSm kutumikia young badala ya CEO kumpa mkataba husika
ππππManara ameshatumia majini kumtoa Kamwe
Mi nilishaagiza bia mbili najua ni yule KondaHii alert ya breaking news inatumika vibaya sasa, kweli Ali Kamwe kujiuzulu ni breaking news? Kuweni serious jamani.