Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Ameshamtumikia kafiri ....Arudi Sasa nyumbaniKaribu nyumbani Ali Kamwe.
Simba inakukaribisha sana nyumbani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameshamtumikia kafiri ....Arudi Sasa nyumbaniKaribu nyumbani Ali Kamwe.
Simba inakukaribisha sana nyumbani.
SanaYanga inaendeshwa kihuni sana.
Ukiwa msemaji wa Simba na Yanga lazima uwe na matatizo ya akili, kwahy Ahmed Ally unamuona n mtu mzima yule?Akishajiuzulu..pia namshauri ajiuzulu utoto pia
Manara ni tikiti maji.Hata mimi manara sijawahi kumkubali aisee!
Kama mgunda tuKwahy manara akifungiwa tena, Yanga watamrudia Kamwe?
Watu wanasherehekea Toyota cup wengine wanahuzunika kwa kupatikana Toyota cupHii Taarifa ina ukweli gani?
Hiyo hata ningekuwa mimi, Mtu kaita Waganga wote kutoka Rufiji waje wamzindike halafu uendelee kushangaa, labda kama hujitaki
===
Ally Shaban Kamwe baada ya kuhudumu kwa misimu miwili kama Meneja wa idara ya Habari na Mawasiliano Yanga SC ,leo ameandika barua ya kujiuzulu nafasi hiyo baada ya kuitumikia kwa mafanikio.
Kamwe alianza kazi Yanga September 25,2022 , leo July 29 amejiuzulu taarifa rasmi itatolewa muda wowote kuanzia sasa
Shaffi Dauda
=====
Ally Kamwe amepost haya kwenye ukurasa wake wa Insta akiwaaga mashabiki wa Yanga;
A Good dancer must know when to Leave a Stage.
𝑀𝑡𝑢𝑚𝑏𝑢𝑖𝑧𝑎𝑗𝑖 𝑚𝑧𝑢𝑟𝑖 𝑎𝑛𝑎𝑡𝑎𝑘𝑖𝑤𝑎 𝑘𝑢𝑗𝑢𝑎 𝑛𝑖 𝑤𝑎𝑘𝑎𝑡𝑖 𝑔𝑎𝑛𝑖 𝑤𝑎 𝑘𝑢𝑜𝑛𝑑𝑜𝑘a 𝐽𝑢𝑘𝑤𝑎𝑎𝑛𝑖..
Maneno ya hekima kutoka katika kinywa cha Patrick Loch Otieno Lumumba;
Na ni Hekima hii, inanituma mbele yenu Wananchi, Mashabiki na Wanachama wa Klabu yetu pendwa, kuwaambia kuwa, Ni wakati sasa wa kijana wenu kuondoka Jukwaani.
Nimesimama Miaka miwili juu ya hili Jukwaa, Tumeimba, Tumecheza, Tumefurahi na Alhamdulillah Tumeshinda pamoja kila pambano Lililokuja mbele yetu.
Muda wangu umemalizika na Asanteni sana.
Tutaonana tena Wakati mwingine nikiwa na kitu kizuri cha kuwaonyesha Juu ya Jukwaa.
DaimaMbeleNyumaMwiko.
Mwenyekiti wa Wasemaji
Ally Kamwe.
Meacheni Haji amtumikie kafiri.Mtu shabiki wa Simba Sc anapewa usemaji wa Yanga tena baada kututukana matusi yote, kama sio uhayawani ni nini hiki?
Tajiri anavuka mpaka sasa.
We jamaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hiyo red nimestuka nikajua Makonda
Kakufanyaje kwani? Alishawahi kukugonga Bahati mbaya?Akafie mbele
Huyu jamaa ni tatizo. Tutarajie migogoro ni TFF ikirejea upya, tutarajie migogoro na waandishi wa habari.Dakika za mwisho mwisho pale Simba aliakuwa akianzisha challenge anaziita Manara na Simba. Nikajua huyu jamaa sikio linataka kuzidi kichwa. Kweli hakuchukua round
Binti umeumia kweli?Pongezi nyingi ziende kwa babra kwa kumjua huyu mdwanzi mapema,, sio shabiki wa yanga wala Ali kamwe ila imeniuma,, by the way rudi nyumbani kumenoga Ali simba,,,
Ahmed Ally ni Yanga damu ndio maana Makolo FC wakichezea kichapo anaenda kuchekelea CHOONIPongezi nyingi ziende kwa babra kwa kumjua huyu mdwanzi mapema,, sio shabiki wa yanga wala Ali kamwe ila imeniuma,, by the way rudi nyumbani kumenoga Ali simba,,,
Umeulizwa??? Au huo mwiko uko nyuma unakuwashaAhmed Ally ni Yanga damu ndio maana Makolo FC wakichezea kichapo anaenda kuchekelea CHOONI
Bolo langu limedinda sasa jipendekeze nikuchane MsambaUmeulizwa??? Au huo mwiko uko nyuma unakuwasha