MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Anajiuzulu kijana ili nafasi yake ichukuliwe na mzee. Inashangaza sana. Manara hafai hata kuwa msemaji wa Chaukucha FC ya Ilala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manara si apumzike jamani, anataka kufosi kuonekana anaweza hiyo kazi wakati muda umemtupa mkono. He needs to accept the change! Na uzuri klabu imefanikiwa sana wakati yeye kafungiwa hivyo Hana sababu ya kutaka kufosi usemaji, shubaamiiiitttHii Taarifa ina ukweli gani?
Hiyo hata ningekuwa mimi, Mtu kaita Waganga wote kutoka Rufiji waje wamzindike halafu uendelee kushangaa, labda kama hujitaki
===
Ally Shaban Kamwe baada ya kuhudumu kwa misimu miwili kama Meneja wa idara ya Habari na Mawasiliano Yanga SC ,leo ameandika barua ya kujiuzulu nafasi hiyo baada ya kuitumikia kwa mafanikio.
Kamwe alianza kazi Yanga September 25,2022 , leo July 29 amejiuzulu taarifa rasmi itatolewa muda wowote kuanzia sasa
Shaffi Dauda
=====
Ally Kamwe amepost haya kwenye ukurasa wake wa Insta akiwaaga mashabiki wa Yanga;
A Good dancer must know when to Leave a Stage.
𝑀𝑡𝑢𝑚𝑏𝑢𝑖𝑧𝑎𝑗𝑖 𝑚𝑧𝑢𝑟𝑖 𝑎𝑛𝑎𝑡𝑎𝑘𝑖𝑤𝑎 𝑘𝑢𝑗𝑢𝑎 𝑛𝑖 𝑤𝑎𝑘𝑎𝑡𝑖 𝑔𝑎𝑛𝑖 𝑤𝑎 𝑘𝑢𝑜𝑛𝑑𝑜𝑘a 𝐽𝑢𝑘𝑤𝑎𝑎𝑛𝑖..
Maneno ya hekima kutoka katika kinywa cha Patrick Loch Otieno Lumumba;
Na ni Hekima hii, inanituma mbele yenu Wananchi, Mashabiki na Wanachama wa Klabu yetu pendwa, kuwaambia kuwa, Ni wakati sasa wa kijana wenu kuondoka Jukwaani.
Nimesimama Miaka miwili juu ya hili Jukwaa, Tumeimba, Tumecheza, Tumefurahi na Alhamdulillah Tumeshinda pamoja kila pambano Lililokuja mbele yetu.
Muda wangu umemalizika na Asanteni sana.
Tutaonana tena Wakati mwingine nikiwa na kitu kizuri cha kuwaonyesha Juu ya Jukwaa.
DaimaMbeleNyumaMwiko.
Mwenyekiti wa Wasemaji
Ally Kamwe.
Dah!
Hii habari sijaifurahia!
Hajimanara sijawahi kumkubali hafai hana nidhamu matusi na kejeli zimemjaa
Alikamwe ni mtu na nusu anaweza kutuchangamsha pia n
Kama wanamtoa kimizengwe, Bora MAGOMA achukue timu yake tu.Yanga inaendeshwa kihuni sana.
Kuna taarifa kwamba anaenda kuwa Mkurugenzi wa mauzo ya jeziYanga imepoteza kijana smart sana
Alifanyiwa antonio nugaz watu wakaona freshHii ni Generation ya Ali Kamwe yeye ndo anastahili kuwa katika nafasi hii kwa sasa ila kitendo cha Club kumuacha manara kuongelea nafasi anayostahili kuiongelea Ally na mbaya zaid kuruhusu Haji ajiteue kuwa mshereheshaji wa siku ya wananchi hii haikua sawa
Inasikitisha sanaAlifanyiwa antonio nugaz watu wakaona fresh
Jamaa ana shida huyoHuyu jamaa ni tatizo. Tutarajie migogoro ni TFF ikirejea upya, tutarajie migogoro na waandishi wa habari.
Kila anaposimama huyu jamaa expect migogoro tangu UVCCM, pale Simba na hata maisha yake tu binafsi.
Sanaaa,Inasikitisha sana
Huko chooni mnaingia wawili hadi umuone akicheka?Ahmed Ally ni Yanga damu ndio maana Makolo FC wakichezea kichapo anaenda kuchekelea CHOONI
Kwahy manara akifungiwa tena, Yanga watamrudia Kamwe?
Una roho mbaya sana aisee ushabiki wa kisiasa unakufanya usiwe na utuMi nilishaagiza bia mbili najua ni yule Konda