Wewe umejuaje alikuwa analipwa vizuri Azam je unajua hapo alipoenda analipwa kiasi gani mpaka umlaumu?Mamipira ya bongo ndio maana niliacha kuyafatilia. Mtu alikuwa na kazi yake ya kudumu Azam analipwa vizuri, eti kakimbilia kwenye matimu ya bongo. Unaacha kazi Azam ili ukafanye kazi Yanga?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Kwan ya mara ya kwanza alijua atafungwa?AFUNGIWE KWA LIPI? HAFUNGIWI TENA. HATORUDIA SABABU KAMA ZILE.
NDO NAKUAMBIA HAKUNA WA KUMFUNGIA TENA. HAKUNA. NA ATAWACHAKAZA SANA SIMBAKwan ya mara ya kwanza alijua atafungwa?
HatersHuyo Kamwe Hana lolote ...amebebwa na mafanikio haya ya muda mfupi ya Yanga....
Timu ikifanya vizuri hata mbwa anaweza kuwa msemaji profeshenali
SawaNDO NAKUAMBIA HAKUNA WA KUMFUNGIA TENA. HAKUNA. NA ATAWACHAKAZA SANA SIMBA
Huo ndio ukweliHaters
Ndiyo maana yake, Magoma apewe timu .Kama wanamtoa kimizengwe, Bora MAGOMA achukue timu yake tu.
Siwezi kuwa na utu kwa muuajiUna roho mbaya sana aisee ushabiki wa kisiasa unakufanya usiwe na utu
Hii ya kutamka kuwa yeye atafanya shughuli ys usemaji katika Yanga Day hata mimi ilinishtua, maana ilikuwa ni press yake ya kwanza nikitegemea atatoa speech ya shukrani, na atasubiri klabu itoe majukumu. Huenda uongozi wa juu ulimpa baraka, na kijana wa watu amelazimika kuondoka akiwa katika majukumu kama Nape alivyoondolewa akiwa kazini...na mbaya zaid kuruhusu Haji ajiteue kuwa mshereheshaji wa siku ya wananchi hii haikua sawa
[emoji81]Boss Magoma chukua Team yako watakuharibia
Vilabu hivi vya Kariakoo vinalipa. Unadhani Manara amekosa cha kufanya?Mamipira ya bongo ndio maana niliacha kuyafatilia. Mtu alikuwa na kazi yake ya kudumu Azam analipwa vizuri, eti kakimbilia kwenye matimu ya bongo. Unaacha kazi Azam ili ukafanye kazi Yanga?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Ali ana akili kuliko yule jamaa anayejifanya mkubwa kuwalipa wazee posho kuomba du'a inaonesha mtu wa aina gani. Mimi nadhani hapa imeonesha udhaifu wa taasisi kubwa kama hizi za Yanga na Simba. Ali pamoja na kuanza kuchukuliwa kazi yake na mtu nje akianza kujitapa mimi nitasheherekesha Siku ya wananchi day, mimi nitawatambulisha sijui kina nani ki stytle halafu unakuta uongozi wa Yanga kimyaaa, hakuna hata mmoja aliseyesema stop na kumpa support Ali Kamwe sababu ndio msemaji wamekaa kimyaa kijana akajuwa akuvukuzae hakuwambii toka. Yanga viongozi mjitafakari, team isiendeshwe kirafiki tu. Mtu anajitapa nilifungiwa 2 years na mshahara nalipwa na boss akaniongezea na mshahara, hivi wafanyakazi wengine watajionaje? je na wengine wanafanyiwa hivyo au huyu bwana tu. Ila nimemsikia kasema GSM sasa huyu kaajiriwa na Yanga au GSM?Dah ameamua kuepusha shari
Safi Sana mkuu.Huyo Kamwe Hana lolote ...amebebwa na mafanikio haya ya muda mfupi ya Yanga....
Timu ikifanya vizuri hata mbwa anaweza kuwa msemaji profeshenali
Mungu nisamehe, huyu mtu simjui wala hanijui ila simpendi tu bila sababu ya maana. Sijui nani kamdanganya bila yeye hizi team haziendi na mbaya anadhani bila yeye ubingwa Yanga wasingepata na baya zaidi anaamini ni yeye sababu ya Simba kufanya vibaya baada ya kuondoka. Shida sana na anahonga mpaka wazee njaa wa Yanga eti du'a ya kumuombea.......pumbavuuuuReturn of chura 🐸🐸🐸 View attachment 3055480
Lucha umeongea chanzo 100%, kosa kubwa la uongozi wa Yanga umeonesha hawakumpa mtu heshima yake na mtu akikivunjia heshima ondoka... Ali Kamwe mwanamme.Hii ni Generation ya Ali Kamwe yeye ndo anastahili kuwa katika nafasi hii kwa sasa ila kitendo cha Club kumuacha manara kuongelea nafasi anayostahili kuiongelea Ally na mbaya zaid kuruhusu Haji ajiteue kuwa mshereheshaji wa siku ya wananchi hii haikua sawa
Lakini usisahau kuwa Ally Kamwe alipewa kazi hiyo baada ya mwenye nayo (Manara) kufungiwa kujihusisha na mambo ya mpira .Ali ana akili kuliko yule jamaa anayejifanya mkubwa kuwalipa wazee posho kuomba du'a inaonesha mtu wa aina gani. Mimi nadhani hapa imeonesha udhaifu wa taasisi kubwa kama hizi za Yanga na Simba. Ali pamoja na kuanza kuchukuliwa kazi yake na mtu nje akianza kujitapa mimi nitasheherekesha Siku ya wananchi day, mimi nitawatambulisha sijui kina nani ki stytle halafu unakuta uongozi wa Yanga kimyaaa, hakuna hata mmoja aliseyesema stop na kumpa support Ali Kamwe sababu ndio msemaji wamekaa kimyaa kijana akajuwa akuvukuzae hakuwambii toka. Yanga viongozi mjitafakari, team isiendeshwe kirafiki tu. Mtu anajitapa nilifungiwa 2 years na mshahara nalipwa na boss akaniongezea na mshahara, hivi wafanyakazi wengine watajionaje? je na wengine wanafanyiwa hivyo au huyu bwana tu. Ila nimemsikia kasema GSM sasa huyu kaajiriwa na Yanga au GSM?
Unachosema ni kweli lakini ilikuwa move nzuri kujenga profile yake na kafanikiwa sana huko mbele atapata kikubwa kuliko alichokuwa anakipata hata ikitokea anarudi Azam kumtaka basi wanampa kwa terms zake au ukasikia kaenda makampuni makubwa na akatengeneza good money. Alichofanya ni 100% smart moveMamipira ya bongo ndio maana niliacha kuyafatilia. Mtu alikuwa na kazi yake ya kudumu Azam analipwa vizuri, eti kakimbilia kwenye matimu ya bongo. Unaacha kazi Azam ili ukafanye kazi Yanga?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.