Ali ana akili kuliko yule jamaa anayejifanya mkubwa kuwalipa wazee posho kuomba du'a inaonesha mtu wa aina gani. Mimi nadhani hapa imeonesha udhaifu wa taasisi kubwa kama hizi za Yanga na Simba. Ali pamoja na kuanza kuchukuliwa kazi yake na mtu nje akianza kujitapa mimi nitasheherekesha Siku ya wananchi day, mimi nitawatambulisha sijui kina nani ki stytle halafu unakuta uongozi wa Yanga kimyaaa, hakuna hata mmoja aliseyesema stop na kumpa support Ali Kamwe sababu ndio msemaji wamekaa kimyaa kijana akajuwa akuvukuzae hakuwambii toka. Yanga viongozi mjitafakari, team isiendeshwe kirafiki tu. Mtu anajitapa nilifungiwa 2 years na mshahara nalipwa na boss akaniongezea na mshahara, hivi wafanyakazi wengine watajionaje? je na wengine wanafanyiwa hivyo au huyu bwana tu. Ila nimemsikia kasema GSM sasa huyu kaajiriwa na Yanga au GSM?