Ally Kamwe: Ni wakati sasa wa kijana wenu kuondoka Jukwaani

Manara hana anachoweza kuisaidia yanga kama sio kuendekeza ushirikina tu afu why asipumzike ashazeeka.
 
Manara shikilia Bomba hapohapo makolo yanapiga yowe huku.

Haiwezekani timu inafanya vizuri uwanjani harafu inashindwa kujaza mashabiki kwenye tamasha la Wananchi na inazidiwa Hadi na timu ya hovyo kama Simba .
Rudi Bugatti 🀣🀣🀣
 
Manara anaitumia Yanga kuijenga zaidi profile yake wala sio Yanga. Manara anahitaji sana Yanga kuliko Yanga kumtaka yeye ila anataka kuwaambia watu Yanga wanamtaka sana wame mmiss ndivyo anavyojitapa.
 
Manara shikilia Bomba hapohapo makolo yanapiga yowe huku.

Haiwezekani timu inafanya vizuri uwanjani harafu inashindwa kujaza mashabiki kwenye tamasha la Wananchi na inazidiwa Hadi na timu ya hovyo kama Simba .
Rudi Bugatti 🀣🀣🀣
Hivi kipimo ni kujaza siku ya wananchi? ndio kigezo, sikujua hilo. Kweli wewe kama mshabiki wa Yanga mpaka Manara akwambie ndio uende uwanjani? basi hakuna washabiki.
 
Hivi kipimo ni kujaza siku ya wananchi? ndio kigezo, sikujua hilo. Kweli wewe kama mshabiki wa Yanga mpaka Manara akwambie ndio uende uwanjani? basi hakuna washabiki.
Kushawishi mashabiki na kuwavutia kuja uwanjani ni Moja ya jukumu la Idara ya habari ya club. Haiwezekani Simba mbovu hii eti inaongoza Kwa kuwavutia mashabiki kwenda uwanjani kuliko Yanga wenye timu nzuri ila haipati mashabiki uwanjani .

Ahmed Ally alifanikiwa Sana katika hili hii inatokana na ubunifu wake .
Idara ya habari ya Yanga hata mitandaoni tu humu imezidiwa mbali na Simba Hadi unabaki kushangaa 🀣🀣.
Manara Rudi kazini kwako kulipwaya Sana .
 
Hizo ni fitna zako wewe kolo.
Hebu niambie Toka Manara akiwa kwenu na tangu aondoke ni Mafanikio Gani kawaachia .?.
Mtu ambaye alipokuwa kwenu mlichukuwa ubingwa mfululizo na Toka ameondoka mnatapatapa Hadi Leo unasemaje ni mfitinishaji ?🀣🀣🀣
 
Tuweke pembeni hili la Manara na Ali. kwa maneno yako ina maana wewe mshabiki mpaka utongozwe ndio uende uwanjani? idara ya habari kazi yao ni kutoa taarifa sahihi na ku promote kupata wadhamini pesa ipatikane lakini wewe kama mshabiki jukumu lako ku support team. Ok Simba walijaza uwanja lakini iliwasaidia nini kwenye msimu?
 
ally kamwe asingeondoka yanga kamwe. Hakika ningejua haya nisingeipenda Yanga Kamwe.😭😭😭
 
Kwani manara kaondoka pekeyake pale simba? Babra bado yupo simba?
 
Publicity hii, hamna kitu hapo..
 
Haiwezekani muhuni mmoja katoka kuitumikia adhabu Kisha kabla ya uongozi wa club yake haijatoa tamko lolote yeye anaita waandishi wa habari na kusema kwamba analudi kwenye nafasi yake Ikiwa nafasi yenyewe Iko chini ya ofisi ya habari ya club ambapo hiyo ofisi ndo ilitakiwa kutoa hiyo taarifa.
Yanga Inaendeshwa kihuni Sana.
Hata ningekuwa mimi ni Ally Simba ningejiuzulu mamake.
 
Mie nashauri hiyo nafasi wapewe wote wawili. Simba ingekuwa inamuogopa Manara ingefuata matakwa yake ili asiondoke. Tabia ya Manara iko siku itawakera hata Yanga. Muda ni Mwalimu mzuri.
 
Ally Kamwe haondoki yanga, anabadilishiwa tu majukum
 
Wana yanga tuanzishe kampeni, Hatumtaki Manara huyu mlevi anaisaidia nini yanga kama sio kujinufaisha na kuoa kila siku, Manara ni muhuni mtu mzima anayeforce mafanikio hata mimi ningekuwa ali kamwe ningejiuzuru kuliko kulogwa na mtu kama manara mpenda ushirikina.
 
Haya ni mambo ya kipunbav sana
Hili jambo halivumiliki kabisa kama Ali kamwe hatarudi tunaanzisha kampeni ya kumuondoa huyo mshirikina Manara yanga huu ni upuuzi na hauvumiliki vijana wadogo wanajitoa kufanya kazi afu unawachanganya na mchawi mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…