Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Ally kamwe alifit sana, yanga kwa hili wanazingua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manara hana anachoweza kuisaidia yanga kama sio kuendekeza ushirikina tu afu why asipumzike ashazeeka.Lakini usisahau kuwa Ally Kamwe alipewa kazi hiyo baada ya mwenye nayo (Manara) kufungiwa kujihusisha na mambo ya mpira .
Simba mnamuogopa Sana Manara Kwa sababu mnaujua mziki wake .
Bugatti the One himself is back . Unyonge Sasa basi 🤣🤣🤣🤣
Manara shikilia Bomba hapohapo makolo yanapiga yowe huku.Mungu nisamehe, huyu mtu simjui wala hanijui ila simpendi tu bila sababu ya maana. Sijui nani kamdanganya bila yeye hizi team haziendi na mbaya anadhani bila yeye ubingwa Yanga wasingepata na baya zaidi anaamini ni yeye sababu ya Simba kufanya vibaya baada ya kuondoka. Shida sana na anahonga mpaka wazee njaa wa Yanga eti du'a ya kumuombea.......pumbavuuuu
Manara anaitumia Yanga kuijenga zaidi profile yake wala sio Yanga. Manara anahitaji sana Yanga kuliko Yanga kumtaka yeye ila anataka kuwaambia watu Yanga wanamtaka sana wame mmiss ndivyo anavyojitapa.Mitandaoni kote leo watu wameumizwa na hii habari na hawamtaki Manara. Haji Hebu pumzika bhana, tunajua unatafuta kutrend kupitia timu yetu.. Tunapoteza watu makini Kama Ali Kamwe kwa ajili ya Haji ambaye umri umemtupa mkono. Tunahitaji kijana wa kuendana na mabadiliko.
Hivi kipimo ni kujaza siku ya wananchi? ndio kigezo, sikujua hilo. Kweli wewe kama mshabiki wa Yanga mpaka Manara akwambie ndio uende uwanjani? basi hakuna washabiki.Manara shikilia Bomba hapohapo makolo yanapiga yowe huku.
Haiwezekani timu inafanya vizuri uwanjani harafu inashindwa kujaza mashabiki kwenye tamasha la Wananchi na inazidiwa Hadi na timu ya hovyo kama Simba .
Rudi Bugatti 🤣🤣🤣
Kushawishi mashabiki na kuwavutia kuja uwanjani ni Moja ya jukumu la Idara ya habari ya club. Haiwezekani Simba mbovu hii eti inaongoza Kwa kuwavutia mashabiki kwenda uwanjani kuliko Yanga wenye timu nzuri ila haipati mashabiki uwanjani .Hivi kipimo ni kujaza siku ya wananchi? ndio kigezo, sikujua hilo. Kweli wewe kama mshabiki wa Yanga mpaka Manara akwambie ndio uende uwanjani? basi hakuna washabiki.
Hizo ni fitna zako wewe kolo.Ukiangalia ile press conference unaona kabisa huyo Tupinkele Manars ni tatizo. Mbaya zaidi hana hekima.
Uongozi wa Yanga unapaswa kuhakikisha haumruhusu huyo mtu kuwa sehemu ya wafanyakazi wa Yanga.
Manara anaji position kama the most important and strong person kwenye club kuliko yeyote, anajiona yeye kama kuna mtu wa kumwambia chochote pale Yanga basi GSM pekee.
Huyo Kirusi aondoke, hatuwezi tukaongelea transformation ya Club huku ukikumbatia watu aina ya Manara
Tuweke pembeni hili la Manara na Ali. kwa maneno yako ina maana wewe mshabiki mpaka utongozwe ndio uende uwanjani? idara ya habari kazi yao ni kutoa taarifa sahihi na ku promote kupata wadhamini pesa ipatikane lakini wewe kama mshabiki jukumu lako ku support team. Ok Simba walijaza uwanja lakini iliwasaidia nini kwenye msimu?Kushawishi mashabiki na kuwavutia kuja uwanjani ni Moja ya jukumu la Idara ya habari ya club. Haiwezekani Simba mbovu hii eti inaongoza Kwa kuwavutia mashabiki kwenda uwanjani kuliko Yanga wenye timu nzuri ila haipati mashabiki uwanjani .
Ahmed Ally alifanikiwa Sana katika hili hii inatokana na ubunifu wake .
Idara ya habari ya Yanga hata mitandaoni tu humu imezidiwa mbali na Simba Hadi unabaki kushangaa 🤣🤣.
Manara Rudi kazini kwako kulipwaya Sana .
Kwani manara kaondoka pekeyake pale simba? Babra bado yupo simba?Hizo ni fitna zako wewe kolo.
Hebu niambie Toka Manara akiwa kwenu na tangu aondoke ni Mafanikio Gani kawaachia .?.
Mtu ambaye alipokuwa kwenu mlichukuwa ubingwa mfululizo na Toka ameondoka mnatapatapa Hadi Leo unasemaje ni mfitinishaji ?🤣🤣🤣
Kamuulize yeyeHuko chooni mnaingia wawili hadi umuone akicheka?
Publicity hii, hamna kitu hapo..Hii Taarifa ina ukweli gani?
Hiyo hata ningekuwa mimi, Mtu kaita Waganga wote kutoka Rufiji waje wamzindike halafu uendelee kushangaa, labda kama hujitaki
===
Ally Shaban Kamwe baada ya kuhudumu kwa misimu miwili kama Meneja wa idara ya Habari na Mawasiliano Yanga SC ,leo ameandika barua ya kujiuzulu nafasi hiyo baada ya kuitumikia kwa mafanikio.
Kamwe alianza kazi Yanga September 25,2022 , leo July 29 amejiuzulu taarifa rasmi itatolewa muda wowote kuanzia sasa
Shaffi Dauda
=====
Ally Kamwe amepost haya kwenye ukurasa wake wa Insta akiwaaga mashabiki wa Yanga;
A Good dancer must know when to Leave a Stage.
𝑀𝑡𝑢𝑚𝑏𝑢𝑖𝑧𝑎𝑗𝑖 𝑚𝑧𝑢𝑟𝑖 𝑎𝑛𝑎𝑡𝑎𝑘𝑖𝑤𝑎 𝑘𝑢𝑗𝑢𝑎 𝑛𝑖 𝑤𝑎𝑘𝑎𝑡𝑖 𝑔𝑎𝑛𝑖 𝑤𝑎 𝑘𝑢𝑜𝑛𝑑𝑜𝑘a 𝐽𝑢𝑘𝑤𝑎𝑎𝑛𝑖..
Maneno ya hekima kutoka katika kinywa cha Patrick Loch Otieno Lumumba;
Na ni Hekima hii, inanituma mbele yenu Wananchi, Mashabiki na Wanachama wa Klabu yetu pendwa, kuwaambia kuwa, Ni wakati sasa wa kijana wenu kuondoka Jukwaani.
Nimesimama Miaka miwili juu ya hili Jukwaa, Tumeimba, Tumecheza, Tumefurahi na Alhamdulillah Tumeshinda pamoja kila pambano Lililokuja mbele yetu.
Muda wangu umemalizika na Asanteni sana.
Tutaonana tena Wakati mwingine nikiwa na kitu kizuri cha kuwaonyesha Juu ya Jukwaa.
DaimaMbeleNyumaMwiko.
Mwenyekiti wa Wasemaji
Ally Kamwe.
Mie nashauri hiyo nafasi wapewe wote wawili. Simba ingekuwa inamuogopa Manara ingefuata matakwa yake ili asiondoke. Tabia ya Manara iko siku itawakera hata Yanga. Muda ni Mwalimu mzuri.Lakini usisahau kuwa Ally Kamwe alipewa kazi hiyo baada ya mwenye nayo (Manara) kufungiwa kujihusisha na mambo ya mpira .
Simba mnamuogopa Sana Manara Kwa sababu mnaujua mziki wake .
Bugatti the One himself is back . Unyonge Sasa basi 🤣🤣🤣🤣
Haya ni mambo ya kipunbav sanaMtu shabiki wa Simba Sc anapewa usemaji wa Yanga tena baada kututukana matusi yote, kama sio uhayawani ni nini hiki?
Tajiri anavuka mpaka sasa.
Hili jambo halivumiliki kabisa kama Ali kamwe hatarudi tunaanzisha kampeni ya kumuondoa huyo mshirikina Manara yanga huu ni upuuzi na hauvumiliki vijana wadogo wanajitoa kufanya kazi afu unawachanganya na mchawi mmoja.Haya ni mambo ya kipunbav sana